UR VERY LUCKY!! Hongera kwa kupata malezi ya baba japo sio baba mzazi. Mimi hapa nimeanza kuishi na baba mzazi nikiwa form one kiukweli paka leo I don’t feel km nina baba yaani ni 0 bond btn Us, sometime tunakaa hata mwaka mzima bila kuonana wala simu mi nahisi labda anasubiri akizeeka hajiwezi...
Mwanangu alikuwa hivyo hivyo yani kila ninachoambiwa nampa lakini hamna kitu na mwili wake kimbaombao, now yuko 3.9yrs angalau anakula mimi napambana sana na kilo zake na kila siku namtengenezea juice ya embe, parachichi na passion hiyo anaipenda,
Pole sana nimepitia huko, jitahidi saana na...
Hao watu walikuja pia shule ya msingi Kimandolu jirani na hiyo ya baraa, walimu wakaita wazazi wakawaambia wazazi waende shule kipikwe chakula na hizo nyama wale woote pamoja na wanafunzi hapo hapo shule.
Wazazi wa kimandolu kwanza wakashangaa why ngombe na km sadaka wangewapa hata daftari na...
Panaitwa kwa Athanasi, buku mbili unabandika kucha na kupaka rangi ndo maana watu wanajaa sana wanahudumiwa kwa foleni.
Huyo Athanasi ni muha na vijana wake wote anawatoa kigoma afu anawafundisha kazi.
Nina two kids wote nimejufungua kawaida, mimi ni mchaga sijawahi kandwa sijawahi pata tatizo lolote, hayo mambo ya maji ya moto ni imani tu na kutesana.
Mi naishi kimandolu Arusha, daladala mwisho saa 5 na hapo za kubahatisha, sasa sijui hizi unazosema zinaenda wapi, kiufupi kusafiri usiku Arusha labda pikipik au private.
Naishi na baba wa mtt wangu (simwiti mume mana hatujafunga ndoa), alishanifanyia visa viingi but mwanzoni mwa mwezi wa 10 mwaka jana alinipiga ngumi mchana saa 8 nikakaa two weeks na vidonda mdomoni badae akaniletea dawa nikanywa nikapona.
Kiukweli since ile siku siko sawa, nimemsamehe kinafki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.