Ndiyo maana mwanahiphop kawa full chawa, nilishangaa sana yuko hivi tokea East Coast au? Kumbe kuna madudu anayafanya na ukishayaanza lazima ujichekeshe sana
Zinachotwa wizarani zinazungushwa huku, na kuanzisha kampuni za betting. Ni zao hizo, wana riba kubwa sana,mi nilirudi kwenye mikopo ya kampuni za simu.
Sema wape pesa yao alafu temana nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.