Recent content by Adam k.m

  1. Adam k.m

    hesabu: aina za namba

    tupate darasa kidogo
  2. Adam k.m

    Base 10 numeration

  3. Adam k.m

    Naomba msaada laptop yangu haitaki kuchaji betri

    Jiaribu kutafta mtu mwnye pc ka yako kisha angalia kama betri yake itafanya kazi kwako. Ikifanya ujue betri yako ndio kuch nehi..ikigoma basi tatizo litakuwa kwnye port au circuit ya kupeleka umeme kwny battery
  4. Adam k.m

    Wapi naweza kusoma AUTOCAD Dar es Salaam ?

    Pia kama una access nzuri ya mtandao unaweza kujifunza kupitia site nyingi tu. Kuna video tutorial za kutosha mtandaoni
  5. Adam k.m

    Publishing Software inahitajika

    Software zipo nyingi mkuu. Ujuzi wa kucheza nazo ndio changamoto. Natumia adobe products..zinantosheleza
  6. Adam k.m

    Nimepata tatizo kwenye kufanya manunuzi online

    Ushauri mzuri. Hatua ya kwanza ni kufuatilia huko ulikonunua. Wao wanaweza kuwa na taarifa nzuri coz ndio waliopackage na kutuma
  7. Adam k.m

    Kisima kingine cha gesi chavumbuliwa Tanzania

    Mi pia ningependa kufahamu
  8. Adam k.m

    Kisima kingine cha gesi chavumbuliwa Tanzania

    Nimeshinda bila umeme leo, na vyanzo ndio hivyoooo..kwni hawawezi kuanzisha power plants tuuziane wabongo tu?
  9. Adam k.m

    The first Kinetic Typography in Tanzania

    haha..mwenyewe nimejikuta simpendi baada ya kusoma comments. jst saying. Uliniimpress kwnye video tu, lkn kama nna kazi sidhani kama you'll be an option.
  10. Adam k.m

    Fahamu zaidi kuhusu madini ya Tanzanite

    Except for a few ofcorse
  11. Adam k.m

    Fahamu zaidi kuhusu madini ya Tanzanite

    Nje hioo...waswahili ata hawayatumii
  12. Adam k.m

    Watu zaidi ya milioni 3 wataitembelea Dubai kila baada ya siku nne ifikapo 2020

    Haha..sana. Lkn bongo pia vivutio vipo. Tunashindwa kutafta soko tu
  13. Adam k.m

    Watu zaidi ya milioni 3 wataitembelea Dubai kila baada ya siku nne ifikapo 2020

    yote ni mipango tu. ukiambiwa hawa watu tulikuwa nao sawa kiuchumi unaweza bisha. Ila hali ndio hio. hivi sasa wana mpango wa kufkisha idadi ya watalii zaidi ya milioni sita kwa wiki ili kuzalisha na kukuza uchumi wao. Tuna mengi ya kujifunza. Chanzo: mhandisimaridadi
  14. Adam k.m

    Fahamu zaidi kuhusu madini ya Tanzanite

    Tanzanite ni madini yenye mchanganyiko wa rangi ya bluu na zambarau. Madini haya ni ya kipekee kwa Tanzania kwani hayana chanzo chochote duniani isispokuwa kile cha Mererani mjini Arusha, Tanzania. Madini haya yaligundulika mwaka 1967 lakini yakajipatia jina hilo mwaka 1969 kutoka kwa Henry...
  15. Adam k.m

    Tigo waja na kifurushi cha 30 GB kwa 1,000.

    How do u join?? Sijaiskia hii bado
Back
Top Bottom