Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 446
mbona unakua mkali na hiyo gas? Au una kakitalu hapo?
Sijawa mkali mkuu.....Humu ndani ni kwaajili ya kuelimishana, we are on board katika hizo shughuli na we have enough truth to deny the untruth....