Recent content by Acuity

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2015 yako ilikuaje,lets share,2016 umejipangaje

    Kwangu mimi mwaka haukuwa mzuri kabisa. Mipango yangu mingi haikufanikiwa. Namshukuru Mungu tu kwa kunipa uhai na nguvu. Nina imani mwakani 2016 utakuwa mzurikwangu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Security alert in Tanzania, is the country at war? With whom?

    Vita baridi inaendelea nchini Tanzania. Ni mbaya sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hao wapiga kura milioni saba ni akina nani na wako wapi?

    Demo crazy iliwafanya wasishiriki....
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, E. Lowassa na mgombea mwenza wanapeleka NEC petition yao

    Tusubiri tuone hali itakavyokuwa. Lakini Mungu ni mwema anafahamu kinachoendelea na anajua kitakachofuata.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Stop Order mchakato wa uchaguzi wote Tanzania na Court intepretation

    Kuishi Tanzania ni bora ukawa mtupu kichwani ndipo utaweza kuishi gizani bila kupata msongo wa mawazo utokanao na maamuzi ya ccm.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nasikitika kuwa wapinzani kigoma ndio wameifanya ccm kubeba mkoa. Hukumu I juu yao!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kisheria na kiuhalisia: ZEC wanakwamisha Tanzania nzima

    Jamani, tuache masuala ya sheria na siasa. Tutumie Logic unless kuna ufafanuzi. Kufuatia sababu za kufuta uchaguzi na kwa kuwa uchaguzi wa Zanzibar na Muungano ulifanyika siku moja, chini ya usimamizi wa mamlaka moja, wasimamizi walewale, wapigakura walewale, vituo vilevile na muda wa kupiga ni...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu, kituo kipi cha Television kiko fair katika kuripoti habari za uchaguzi?

    ITV daima, the super brand namba 1
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    RIP Mtoi. Umeondoka ukingali mdogo. Mungu anajua kusudi lake. Amen
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina ya viungo vya mwilini yaweza kutuweka matatani na cyber law?

    Hivi mfano nimeombwa na mtu nimtumie video ya pono, nikamtumia kwa kutumia simu. Nani anakosa kisheria??
  11. A

    JamiiForums Tanzania Jumanne ya 01/09/2015, siku ambayo Ufunguo wa Uhuru Mtandaoni unapotelea baharini!

    Kwa hakika watanzania bado tunaishi gizani. Tena hilo giza linazidi kuwa totoro hasa baada ya kupitishwa kwa sheria hii na hatimaye kuanza kutumika hapo kesho. Katika nchi nyingine, siku ile sheria inapitishwa kinyemela bungeni, tungeipinga waziwazi na kwa kishindo. Siku Rais anaisaini...
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Anafanya tendo la ndoa na mme wake kwa kutimiza wajibu tu, lakini hajisikii

    Nipe namba yake nimfundishe jinsi mume wake anaweza kufikia G-Spot yake na toka siku hiyo ataanza kusikia raha akiwa na mume wake!
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    Nafikiri unahitaji kupata muda wa kutafakari ndoa yako. Ninachoona hapa umependa nje, ukapewa mahaba tofauti na ya mumeo. Vinginevyo unapaswa kutulia, labda akiwa analala nje kwa hawala ndo useme, lakini kama ni kuchepuka, wengi wanafanya dada tena kwa nia njema, "sitaki mke wangu azeeke,, maana...
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    Hahahahaa! Pole sana aisee, mimi nikimfahamu demu kuwa ni changudoa baasi, appetite inakwisha papohapo.
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani alikufundisha kumtongoza Msichana/mwanaume?

    Hapo darasa la 4 mkuu, nina umri wa miaka 15. Nilianza na 11 years! Chezea miaka hiyo, enzi za mwalimu weye! Hahaha
Back
Top Bottom