Nani alikufundisha kumtongoza Msichana/mwanaume?

Nani alikufundisha kumtongoza Msichana/mwanaume?

Chipsi yaipembeni

Senior Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
128
Reaction score
93
Wana MMU,

Naomba kwa wanaume wenye uzoefu na hili jambo atufafanulie. Hivi wewe mwanaume (natambua wapo na wanawake) nani aliyekufundisha kumtongoza/kumshawishi msichana hadi akukubalie kuw anaye katika mahusiano?

Nimeona threads nyingi humu zinaeleza kuwa jinsi vijana wanavyochachama kuelezea mihemko yao kwa mabinti wanaovutiwa nao kimapenzi, jei aliyekufundisha ninani?

Nakumbuka nikiwa mdogo tulikuwa tunawakimbiza wasichana wa rika yetu miaka ile ya 1988 na tunawaangusha chini tunacheza kibaba babaaa na kimama mama...ila baadae nikaelewa kuwa ili umpate binti lazima umuonyeshe kumjali, kumchekea chekea na baadae unaweza kumwambia neno lolote (sio kama sasa hivi tunavyowatamkia/wanavyotutamkia tunapohitaji kuanzisha mahusiano.
 
Mimi binafsi sijafunzwa, imekuja automatically, nadhani ipo tuu ktk damu za wanaume!
 
We jamaa vipi, kudang'anya nayo mpaka ufundishwe????
 
Mimi zaman nilikuwa bingwa wa kuagizwa kwa maduu nilikuwa na ambiwa kaseme iv na iv BC nikapatia apoapo experience
 
Mimi niliiga kutoka kwa jogoo la nyumbani jinsi linavyombembeleza tetea halafu linakuwa linazunguka kwa kukwaruza chini nikimuuliza babu jogoo anafanya nini hivyo? Ananiambia kuwa anamchorea ramani ya nyumba atayomjengea iwapo atakubali basi nikawa bingwa la ahadi za uongo kama jogoo
 
Nakumbuka kwenye ku soundisha nlikua fit balaa nikiwa in my teenage years (below 22), my main challenge ilikua closing the deal ili kupewa mbunye. Tehe

Baadae nika janjaruka bana. Lol
It just comes naturally for a man. Movies na series zinaongeza maujanja.
 
Mimi niliiga kutoka kwa jogoo la nyumbani jinsi linavyombembeleza tetea halafu linakuwa linazunguka kwa kukwaruza chini nikimuuliza babu jogoo anafanya nini hivyo? Ananiambia kuwa anamchorea ramani ya nyumba atayomjengea iwapo atakubali basi nikawa bingwa la ahadi za uongo kama jogoo

hahahahahahahaha....mkuu umenchkesha kinyama!..leo ntalala kama mzungu!
 
Mie huwa natongozwa na wanawake sijui kutongoza sijui nitakuwa na kasoro na cha ajabu huwa sijui kuwakataa nawakubali tu nna huruma sijui.
 
Back
Top Bottom