Recent content by ACT KILIMANJARO

  1. A

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana NCCR Mageuzi, Nicolas Clinton ang'olewa rasmi

    Taarifa Rasmi kutoka ndani ya Jumuiya ya Vijana NCCR aliyekuwa Mwenyekiti wa jumuiya hiyo kwa miaka miwili Nicolas Clinton ameng'olewa kwenye nafasi hiyo na kamati kuu ya chama hicho. Katika ukarasa wake wa Facebook ameandika maneno ya kukishukuru chama na Jumuiya ya Vijana kwa kuongoza ndani...
  2. A

    GE2020 Jimbo la Ilala NCCR-MAGEUZI kulichukua Kupitia, Nicolas Clinton.

    Jimbo la Ilala kwa muda mrefu sasa miaka 20 liko chini ya CCM kupitia Mussa Zungu, lakini kutokana na ushawishi wa Kijana anayegombea Jimbo hilo kupitia NCCR-MAGEUZI Nicolas J Clinton ni wazi Jimbo hili litaenda NCCR-MAGEUZI. Licha ya chama hiki kuwa na Mgombea mwenye ushawishi mkubwa kwa...
  3. A

    GE2020 Mussa Zungu wa CCM amwekea Pingamizi Nicolas Clinton wa NCCR-MAGEUZI

    Taarifa zinasema baada ya Mussa Zungu kuona Mgombea ubunge wa NCCR-MAGEUZI jimbo la Ilala Nicolaus Clinton ni tishio kwake ameamua kumwekea Pingamizi usiku wa jana saa moja. Taarifa za awali zinasema Dogo ni tishio kwa Zungu kwa sababu hakuna Chama cha upinzani kinaweza kupigiwa kura na wana CCM...
  4. A

    GE2020 Ubunge Jimbo la Ilala hapatoshi huku Clinton (NCCR-MAGEUZI) kule Zungu (CCM)

    Dogo lazima ampelekeshe Zungu, muda wake umeisha akalee wajukuu.
  5. A

    Hawa hapa Vinara wa Vijana Kutoka Tanzania.

    Dah huyo mwingine mbona Handsome sana Nicolaus Mwambieni ananitafute nimemuelewa [emoji1][emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    NCCR Mageuzi itawanyakua vigogo hawa Kutoka CCM labla ya uchaguzi Mkuu

    Muda si mrefu tutashuhudia moja ya Movement kali kutoka miongoni mwa vigogo wa CCM ambao wanajiandaa kwenda NCCR-MAGEUZI ili kuwe na vyama viwili vyenye nguvu Tanzania ambao vyote vina muelekeo wa kizalendo na Kijamaa, Mpaka sasa NCCR-MAGEUZI inafanya siasa za Kitaifa James Mbatia anaendelea...
  7. A

    Vijana wa Vyama vya Upinzani wameongea. Soma Tamko Lao

    Sahihisho kwa ajili ya NCCR- MAGEUZI Ni Kitengo cha Vijana NCCR- MAGEUZI" na siyo kikundi kama inavyosomeka kwenye tamko
  8. A

    MABARAZA ya Vijana ya vyama vya Upinzani kuwasha moto kesho

    Mabaraza ya Vijana ya vyama vya Upinzani Nchini watafanya press conference kuongea na Taifa juu mswada wa vyama vya siasa. Viongozi wakuu wa Mabaraza hayo wanaongea kesho Ijumaa tarehe 14/12/2018 saa tano kamili asubuhi Makao Makuu ya NCCR - MAGEUZI Ilala. Wakuu hao wa Mabaraza ni: Patrick...
  9. A

    CHADEMA Intelijesia yenu dhaifu sana hivyo kifo chenu lazima. NCCR-MAGEUZI iwakumbushe kitu!!

    Chama kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kinaendelea kuwa dhaifu dhidi ya dola Chini ya CCM, wakati huo huo CCM ni dhaifu zaidi. CHADEMA imemtunza Lowassa na Kuna Hisia kuwa Chama hicho kinaweza kumtosa Urais mwaka 2020 na hivyo atarudi CCM, Yale ya...
  10. A

    Tetesi: CCM Kuwanasa Viongozi wa Vijana NCCR - MAGEUZI na ACT Wazalendo ni muda tu!!

    Taarifa za karibu zinaonesha Chama cha Mapunduzi CCM kinawawinda viongozi wa Vijana kutoka ACT -Wazalendo na NCCR - MAGEUZI, hii ni baada ya kumnasa Pastrobass Katambi wa CHADEMA. Kwa sasa Kuna watu ndani ya UVICCM kuwashawishi Viongozi hao wa Vijana kutoka Upinzani ili nao wafike bei ya...
  11. A

    TPDF ranks position 27 in the World!

    Nina kuunga mkono kabisa, Africa bado tuko kwenye kiza! Sometimes ndiyo maana hata bara lenyewe linaitwa giza maneno mengi sana ila hakuna Lolote. Kuna wengine wanapima jeshi kwa kupasua matofali something funny. Tuna uongozi mbaya sana, Viongozi wa wa Africa vigeu geu, warafi sijui huwa...
Back
Top Bottom