Hawa hapa Vinara wa Vijana Kutoka Tanzania.

Dr Shekilango

Senior Member
Dec 30, 2013
192
117
Mwalimu John Justin Pambalu, Kinara wa Vijana (BAVICHA) CHADEMA kutoka Mwanza.


Nicolas Jovin Clinton, Kinara wa Vijana (KITENGO) NCCR-MAGEUZI kutoka Mwanza.


Kheri James, Kinara wa Vijana (UVCCM) CCM kutoka Mwanza pia.


Abdul Nondo, Kinara wa Vijana (NGOME) ACT WAZALENDO kutoka Kigoma.


Hamid Bobali, kinara wa Vijana (JUVICUF) CUF kutoka Lindi.

Hawa ni moja ya Vijana wanaongoza taasisi za Vijana kwa sasa hapa Tanzania kwenye vyama vya siasa.
FB_IMG_1589882656585.jpeg
FB_IMG_1589882633103.jpeg
FB_IMG_1589882712293.jpeg
FB_IMG_1589882835271.jpeg
FB_IMG_1589882734196.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kheri james mbunge nyamagana 2021.
abdul nondo mbunge kigoma mjini 2021.
hamid bobary mbunge lindi mjini 2021.

kama kubeti hapo nimebeti under.
kama si wote basi japo mmoja tu atakuwa mbunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom