Uchaguzi 2020 Jimbo la Ilala NCCR-MAGEUZI kulichukua Kupitia, Nicolas Clinton.

Apr 15, 2015
26
25
Jimbo la Ilala kwa muda mrefu sasa miaka 20 liko chini ya CCM kupitia Mussa Zungu, lakini kutokana na ushawishi wa Kijana anayegombea Jimbo hilo kupitia NCCR-MAGEUZI Nicolas J Clinton ni wazi Jimbo hili litaenda NCCR-MAGEUZI.

Licha ya chama hiki kuwa na Mgombea mwenye ushawishi mkubwa kwa wapiga kura wa jimbo hilo, bado NCCR-MAGEUZI imefeli kwenye Organization kwa Mgombea wao ila ni matarajio yangu Lile jimbo linaenda NCCR-MAGEUZI ndo chama pekee chenye ushawishi hasa Mgombea wake Clinton.

Jimbo hilo halina hata diwani mmoja wa NCCR-MAGEUZI hivyo Madiwani wa CCM na CHADEMA.
Washindani wakuu ni Clinton na Zungu

IMG-20200904-WA0269.jpeg
 
Back
Top Bottom