Dah voda wanakera niliunga kifurushi cha wiki 5000 mb 300 lakin siku tatu hazijaisha no downloading now video watchng kwenye mtandao lakin wananiambia mb zako zimeisha dah
Mpaka unakuja kuomba ushauri humu ununue kipi kati ya laptop au laptop nina wasiwasi na wew kwamba hujatambia unataka ufanye kaz gan na hivyo vifaa ndio maana unapata wakat mgumu ununue nini..tahadhar usinunue kitu kwa sababu umemuona mwenzako anacho..
Ushasen n nchi za wezetu hupaswi kuendelea kuongea maana kule kwao had hous girl
Na boy wanamikatab saf na
Pia wanaenda shule kwa ajil ya kaz hizo sas huku bongo wanasomea wap
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.