Recent content by achyb

  1. achyb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Hahahahaaa... nmekuckia mkubwa..
  2. achyb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Habar wana JF.! Kna msichana ambaye tunapendana sana na tushahaidiana kuoana.. kipindi nko nae tulikua tunapendana sana lakin badae yy alienda mwanza kwa wazaz wake sasa yapata miez tisa, mawasiliano yalienda vzr lkn badae akaanza kubadilika.. nikajua moja kwa moja ashapata mtu mwngne lkn kila...
  3. achyb

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa ifm tufahamiane basi.!

    Hi, Jamani mm nimechaguliwa ifm.. so ka na ww umechaguliwa pale ni vyema tukajuana mapema. Ni PM for more contact
  4. achyb

    JamiiForums Tanzania Nahisi hiki ndicho kitanikwamisha kwenda chuo hata nikipata mkopo...!!

    Thats wat to do.. meen
  5. achyb

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Nashukuru kwa ushauri wako bro..
  6. achyb

    JamiiForums Tanzania First years vyuo lini jamani

    Teh.. iyo utasoma ww.
  7. achyb

    JamiiForums Tanzania First years vyuo lini jamani

    Hi JF, kumekuwa na uzushi mwingi kuhusu admissions za wanafunz wa mwaka wa kwanza vyuoni, wengine wanasema mwez wa kumi wengine mwezi wa pili wengine January.. sasa which is witch??? Serikali yenyewe haitak kutoa tamko rasmi. ts better waseme ili tujiandae. Naomba anayejua ukweli kuhusu hili...
  8. achyb

    JamiiForums Tanzania Nahisi hiki ndicho kitanikwamisha kwenda chuo hata nikipata mkopo...!!

    If u think education is expensive try Ignorance.!
  9. achyb

    JamiiForums Tanzania Jkt ipo kama kawaida......!!

    Duh.. ishakuwa noma sasa.!
  10. achyb

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Hi JF, nimekuwa nikivuta sigara kwa miaka miwili, sasa nataka kuacha lakini nashindwa nikijitahidi nakaa hata siku tatu afu naendelea. Nimejaribu tangu January mwaka huu lakin nimeshindwa. Muda mwingine nahisi mapafu yangu yanauma na tatizo itzkuwa ni sigara. Naombeni ushauri wenu au kama kuna...
  11. achyb

    JamiiForums Tanzania Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    . True
  12. achyb

    JamiiForums Tanzania Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Good advice.!
  13. achyb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe wanaume nao hulia kunako 6 by 6, experience yake ikoje? Please

    Mimi huwa natoa machozi , nipe contact zako ili tukutane nikufanyie. Hahahahaaaa
  14. achyb

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata demu wa Dar fasta fasta.

    Baada ya kufanya utafiti wangu nimegundua kuwa hapa Bongo huitaji mpaka kuwa na gari ili kuwapata baadhi ya wasichana, wengine hata ukiwa na funguo tu umeng'oa mtoto..!
  15. achyb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mume mwema jamani

    Kwanza jina tu unajiita pesa ndogo afu eti utakuwa mke mwema.. Huna jipya kama mtaani kwenu hakuna wanaume imekula kwako na aliyekwambia mme anapatikana jf kakudanganya..
Back
Top Bottom