Recent content by Achimwene2014

  1. Achimwene2014

    Nafundisha physics, natafuta kazi

    Toa namba tuwasiliane japo kwa kifupi.
  2. Achimwene2014

    Nafundisha physics, natafuta kazi

    Ungefundisha physics na basic maths ningesema tuma taarifa zako chap
  3. Achimwene2014

    Nauza mbegu za mbogamboga OPV

    Unazo rio grande safari?
  4. Achimwene2014

    Mwanafunzi aliye re seat hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo

    Namba yoyote ile inafaa ila itapendeza zaidi ukitumia aliyofanya vizuri kwenye mtihani wake.
  5. Achimwene2014

    Ushauri kwa zao langu la nyanya

    1. Je unamwagilia maji ya kutosha? Kama hapana yawezekana ikawa ndio sababu. 2. Kama unamwagilia maji ya kutosha, je umeweka mbolea yenye madini ya calcium lini? Kama hujaweka jitahidi uweke mbolea ya CAN au yoyote yenye madini ya calcium. 3. Weka shamba lako katika hali ya usafi muda wote.
  6. Achimwene2014

    Kibali cha kusafirisha maliasili

    Sio kweli bali kutishana tu ili tusitimize ndoto zetu. Nenda field utakubaliana na mimi.
  7. Achimwene2014

    Kibali cha kusafirisha maliasili

    Ni rahisi sana kamwe usiogope nimetoka kusafirisha milango 11 mwezi uliopita.
  8. Achimwene2014

    Kibali cha kusafirisha maliasili

    Nenda Ofisi ya Maliasili ya wilaya ukiwa na copy ya kiwanda ulichotengenezea milango ila kiwe kimesajiliwa pia utoe kibali cha mbao ulizotumia kutengeneza milango. Hapo utapewa TP (Transit Pass) kwa elfu 7au 15 tu.
  9. Achimwene2014

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Miche ilikuwa na miezi kadhaa kabla ya kufa. Hakukuwa na mchwa ila lilikuwa chafu. Sikupandia samadi kwa sababu ni virgin land.
  10. Achimwene2014

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Habari wakuu. Miche yangu ya korosho inanyauka baada ya kuuliza wakulima wenzangu wakadai kuna wadudu au ugonjwa unaosababisha miche kufa. Je huo ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini??
  11. Achimwene2014

    Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Inaruhusiwa kabisa. Ipo hivi kwa anayerudia mtihani yaani second sitting or more than anaruhusiwa kusajili somo moja na kuendelea ila kama first sitting student hususan wale wa QT (mtihani wa maarifa) wanaruhusiwa kusajili masomo manne mwisho 10. Relax kijana mwezi January nenda kituo...
  12. Achimwene2014

    Vitu 4 muhimu unavyopaswa kuvijua kabla ya kununua used iphone (iphone iliyotumika)

    Mkuu nilipewa Tablet ya Apple (mtumba) na haisomi network nilipofuatilia kwa fundi kasema haina iCloud hapa nilipo nimechoka sijui cha kufanya.
Back
Top Bottom