Majini au Jamii zao ndio wa baridi.
Ni sawa na nyoka hua ni kiumbe wa baridi. Wanaitwa terrestrial kwa hiyo asisli yao ni baridin huko chini ya Bahar kuu
Nimejielewesha mwenyewe kwa sababu najua wapo Wanawake wanapogundua wanamliki mwanaumywanagharamia ndoa na kila kitu wao(wanawake).
Na unakuta mwanaume mwenyewe hana akili hata z kujibidisha, wanaishia kuteleza kwenye masofa na kwenda kuangia Mpira vibandani, na kiwala wasichana wa kazi...
Umeongea
Umeongea La maana kubwa sana.
Juzi juziylana harusi full misifa kujisifu niliona wabongo wa ajabu sana.
Leo huenda bi harusymwanamwalii anaomba chunvi
Ni.kweli Kabisa ni tofauti nna burundi ambako kunadharauliwa na watz na madereba wakisafiri kwenda huko wanapasifu sana sheria zao.
Maskini burundi na Rais wao alivyokufa kwa korona imekuwa kama haina Rais hadi leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.