Recent content by Achahasira

  1. Achahasira

    Suggest Samsung Galaxy note 2 Vs S4

    kaka mbona bajet yako inatosha. note 3 ni 600 usd na kuna watu wanauza hadi 950,000 tsh. unapata mpya kabisa haijawahi tumika
  2. Achahasira

    Jinsi ya kutumia, screenshot kweny huawei ascend y300.

    bonyeza power button ( button ya juu) na volume down kwa pamoja
  3. Achahasira

    Sony Experia Z

    simu zote wa weza kuangalia imei bila sim card lakini njia ya ku dial *#06# haikubali kwa iphone kama haina simcard labda uende settings na about
  4. Achahasira

    Sony Experia Z

    hapo sijuwi, lakini simu kama iphone huwezi kupata imei (njia rahisi ya *#06#) bila sim card. tatizo sio software mkuu labda kama wewe unajua ulijaribu kufanya modifctn yeyote ile hadi umepoteza imei
  5. Achahasira

    Smartphone ipi nzuri ?

    unapata s3 mpya kwa 650,000. bora uongeze hamsini uchukue kifaa kipya. DUKA HILI HAPA - WIRELESS CONCEPT ON MOSQUE ST BETWEEN LIBYA AND JAMHURI ST
  6. Achahasira

    Sony Experia Z

    pole mkuu, kuna ndugu yangu alikuwa anatatizo kama lako. alifanya kila ishu ya ku factory na hata ku root. tatizo hapo ni wewe uliweka line (sim card vibaya), vipini vya kusomea line havigusi bati ya dhahabu ya sim card vizuri. nilimtengezea ndugu yangu kwa kunyanyua vipini vya simu (sim...
  7. Achahasira

    Battery saving mode

    Battery saving mode mfano kwa simu au computer hupunguza mwanga wa screen na inafanya simu au computa iwe ina run vitu kwa spidi ndogo ambayo itakusaidia kupata masaa zaidi kwenye kifaa chako
  8. Achahasira

    Wafuasi wa Mursi hawataki kusalim amri

    shukran ndugu. Hawa ni wale vipofu na viziwi
  9. Achahasira

    Pata browser mpya faster kwa android

    nashindwa kuicha opera kwenye simu. yaani yoka nokia symbian hadi leo bado najikuta ndio default browser. nadhani ni mazoea tu lkn ki ukwel8 browser zingine zime improve sana.
  10. Achahasira

    Huawei Ascend y300 na matatizo ya mic

    nimezitumia kea siku chache na sikuona tatizo lolote lile. sema tu mic na spika zake hazitoi sauti vizuri sana lkn zinafanya kazi vizuri.
  11. Achahasira

    Samsung galaxy s4 gt 19500 downloading errors

    jaribu kubadilisha acces point nenda settings,mobile network, access point, bonyeza menu button tengeneza new, alafu jaza kwenye apn internet na apn name andikainternet kisha save. it download safi kabisa
  12. Achahasira

    Solve if U R GENIUS !!!

    jibu ni 6
  13. Achahasira

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    mkuu sio kila mtu kamsikia huyo waziri. tujaribu kuwa na ushahidi na majina ya wahusika. hapa sio kijiweni mkuu wangu!
  14. Achahasira

    jinsi ya kununua internet bundles kwa ajili ya Nexus 7 toka vodacom

    voda wanayo internet kwa rafiki yako sema haina wanjanja night. piga *149*01# kwenye simu yeyote ya voda alafu chagua huduma zaidi ujionganishie
Back
Top Bottom