Suggest Samsung Galaxy note 2 Vs S4

Suggest Samsung Galaxy note 2 Vs S4

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo,

Nataka kununua Smartphone brand ya Samsung. Je ni ipi kati ya hizi hapa ungenishauri kwa ubora kati ya
Galaxy Note 2 Vs Galaxy S4?

Ila brand ambayo nnayoizimia ni "GALAXY NOTE 3" lakini kutokana na Bei yake iko Juu ndio maana
nikaona ni-Opt hizi brand nyingine.

Bajet yangu ni Box/Kilo 9.

Naombeni Ushauri wenu.
 
kaka s4 ni bora zaidi ya note 2 hasa ukipata s4 ya snapdragon 800.

s4 inasuport open gl es 3.0 ambayo ni kitu muhimu sana kwa mambo ya kisasa na developer wengi wanatengeneza apps kutokana na hio kitu.

inamaana kuna apps s4 inarun ila maelfu ya simu nyengine za android haziwezi kurun mfano ni dolphin emulator
 
kaka mbona bajet yako inatosha. note 3 ni 600 usd na kuna watu wanauza hadi 950,000 tsh. unapata mpya kabisa haijawahi tumika
 
Back
Top Bottom