Natafuta mke wa kuoa,mimi naishi Dar es salaam,umri wangu ni miaka 30,mke ni mtakae awe mweupe,awe ameajiajiri,mwenye nidhamu safi,umri wake 25-35.
Mimi sina elimu kubwa, ambae ana utayari andike namba yake cause aki Pm haina uwezo kumjibu mpaka 5 post kukamilika kwenye account yangu.