Recent content by Acceptable

  1. Acceptable

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu mzima na akili timamu anaenda kwa mganga wa kienyeji

    Naomba unijibu haya maswali mawili tu halafu utapata majibu ya maswali yako unayojiuliza kila siku. 1. Unaamini Mungu yupo? 2. Unaamini shetani yupo?
  2. Acceptable

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tusimuachie Mama (Rais Samia) peke yake

    Samaki ana mengi ya kuongea changamoto ni kwamba ana maji mdomoni
  3. Acceptable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiweka ushabiki pembeni; Wanaume tumeumbwa ili kupiga bao moja tu kama kuku wafanyavyo na kusepa

    Mwanamke kuridhishwa sio kwa bao nyingi bali ni muda gani mwanaume ametumia kumuandaa mwanamke pia huyo mwanamke ameshikwa wapi akawa tayari then ndyo inakuja mwanaume amepiga show kwa muda gani na sio bao ngapi. Changamoto watu wanachanganya wingi wa bao na muda wa shoo. Dada mwanaume anaweza...
  4. Acceptable

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

    Nakubaliana na wewe ndugu. Nilikuwa sina ndoto za kuishi mikoa fulani hapa Tanzania lakini sasa hivi ndyo napata ridhiki yangu mkoa mmojawapo.
  5. Acceptable

    JamiiForums Tanzania Women don't love you (sad truth)

    More than true[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji29][emoji29][emoji29]
  6. Acceptable

    JamiiForums Tanzania Mama Samia una wabunge 90+% futa vyama vya upinzani

    Acha wamvuruge ili aishie 2025. Kuna watu wanamdanganya halafu yeye hajui
  7. Acceptable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

    Huyo ni malaya anajiuza. Hakuna cha wavulana wala sijui hela ndogo hiyo laki 3!
  8. Acceptable

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani naweza kukataa uteuzi bila kuonekana nadharau mamlaka?

    Mfuate ikulu au wasiliana na mkuu wa mkoa katika eneo uliloteuliwa mwambie "ASANTE MAMA KWA UTEUZI LAKINI MIMI SIPO TAYARI KWASABABU HIZI" ATAKUELEWA
  9. Acceptable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

    Kabisaaa brother [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23] zaidi ya asilimia miamoja
  10. Acceptable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

    Hii mimi nina ushahidi nayo. Ni kweli kabisa....uthibitisho ninao kwa wadada lips zao zinafanana sana na ........! [emoji119][emoji23]
  11. Acceptable

    JamiiForums Tanzania Kuachia wahalifu kwa muda mfupi ni hatari inayokuja nchini

    Zamani Rais wa Tanzania alikuwa anapata upinzani mkubwa sana kutoka vyama vya upinzani lakini siku hizi anapata upinzani mkubwa kutoka ndani ya CCM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] mwendazake alikuwa ame brainwash watu akili zote[emoji24][emoji24][emoji24]
  12. Acceptable

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kubatilisha mabango ya matusi Mwanza, la sivyo ni ruksa kwa tamko halali la Mkuu wa Mkoa

    Jichanganye[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Acceptable

    JamiiForums Tanzania Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

    Kumtetea mtu muovu ni laana ambayo itakutafuna wewe pamoja na kizazi chako[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
  14. Acceptable

    JamiiForums Tanzania Tuchukulie umepata nafasi ya kuwa Rais kwenye nchi hii, Waziri, Katibu Mkuu wa Wizara, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, n.k. Je, ungewafanya nini?

    Kwanza kabisa; NINGEKUWA RAIS WA JMT (URT). 1.Ningepunguza idadi ya wabunge (Majimbo ya uchaguzi). Ningeondoa wabunge wa viti maalumu. 2. Ningepunguza mishahara ya wabunge, ningeondoa posho zao zote, ningewawekea kodi kwenye mishahara yao. Pia wangekatwa makato ya NSSSF ili wakimaliza miaka 5...
Back
Top Bottom