Recent content by Academician

  1. A

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    tatizo sio post tatizo liko kwenye jina lake usijisumbue
  2. A

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    ukizungumzia wasomi nchi hii ni kituko maana hata Rais wetu ni professor lakini ni majanga ndio maana hata bungeni wabunge wasome ni wa hovyo kuliko maji marefu
  3. A

    Ndugu yetu Bernard Membe yuko wapi, anawaza au amejipangaje saa hizi?

    Anatafakari ntoke vipi? Maana kaaga wizarani na jimboni sasa aende wapi
  4. A

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Tema mate tumchape
  5. A

    Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

    "Ikiwa kifo changu kitatokana na mtu basi huyo mtu kwao hata panya hata baki" kila anayeshiriki kazi za shetani na yeye ni sehemu yake vilevile
  6. A

    Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

    Ndugu yangu sangara zamani tuliamini na ndivyo ilivyokuwa wachawi walikuwa wazee tu sikuhizi hata vijana usishangae sana
  7. A

    Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

    Viumbe wote wanaweza kutubu lakini sio shetani
  8. A

    Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

    Zito akiomba msamaha mimi nitanunua bendera za matawi yote ya chadema dar, hiyo ni kama kuotesha mchicha jangwani
  9. A

    Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    Hivi kwani chama kinaimarika kwa kuwa na umiliki wa ofisi ya ke au mapambano ya kisera na kuwapigania wananchi,Nyerere wakati wa mapambano ya uhuru na TANU yao walijenga ofisi wapi? na ilikuwa ya gorofa ngapi? ila niseme umesema kitu kimoja AIBU JAMANI! ni kweli maana mtu ambaye hata kama...
  10. A

  11. A

    CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    Wakiingia ikulu wataboresha reli ya kati itakuwa ya kisasa na ya mwendo kasi itakuwa hakuna tena wapanda Noah za chinja chinja wala mabasi ya dar - Mwanza wala singida na shinyanga maana itakuwa tamu kupanda treni kuliko kupanda basi
  12. A

    CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    CCM walipokuwa wanatembea na wanamuziki wakina diamond na wengine walikuwa wanataka watu waje kucheza muziki au au kusikiliza hoja na kama wameanzisha matamasha ya muziki watuambie
  13. A

    Mwigulu akalia kuti kavu Iramba Magharibi

    Tunawaombeni wana Iramba fungueni Account haraka na jina ipewe ondoa mwigulu iramba (OMI) kama alivyo sema mheshimiwa mmoja hapo
  14. A

    Waziri alidanganya Bunge, aingia 18 za Zitto!

    Mh! hayo mambo ni mengi nchi hii kwa kifupi nchi hii inahitaji kufanyiwa maombi maana kila aliyeko juu ni kama mwenda**mu unategemea niniila mungu yupo tukishika madaraka 2015 watatueleza matendo yote waliyoyafanya tangu kipindi cha mkapa
  15. A

    CHADEMA Arusha kuweni makini na haya

    CCM Arusha wamebakiwa na yale majengo ya chama yanayokodishwa kwa wafanyabiashara wanajilia kodi tu lakini siasa ilisha kufa na mwaka 2015 atabaki chatanda kama mama mwenye nyumba wa majengo
Back
Top Bottom