Habarin wana JF
Naomba nieleze kidogo changamoto yangu iliyonikumbuka Wenda Kuna wajuzi wanaweza nisaidia ndani humu.
Mwezi wa tano nilisafiri kwenda mkoa kwaiyo nilikuwa na pkpk ambayo ilikuwa inafanya shughuli za bolt kwa ajiri ya kujipatia kipato
Basi Kuna kijan nikamuachia pikpk aendelee...
Kuna fursa nimeiona hapa masasi hakuna movie point ya kisasa wengi wanafanya local lakin cjajua ni kutokana Haina wateja hii biashra au weng wameamua tu kuweka local kutokana na kukariri maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.