Recent content by ABUURA

  1. A

    Somo la 1: Uwekezaji kwa ujumla

    Je kufanya biashara sio uwekezaji
  2. A

    PreGE2025 ACT- WAZALENDO lieni kimyakimya msipige kelele

    atika makosa ambayo Maalim(RIP) alifanya ni kuhamia ACT. Au pengine siyo makosa bali alijua anachokifanya kwa sababu hata kuingia kwenye serikali ya kupewa slesi ya mkate haijakaa sawa. Huwezi kushiriki kwenye serikali halafu hapo hapo ukajiita ni mpinzani wa hiyo serikali. heri nusu shari...
  3. A

    Biashara ya usambazaji bidhaa za dukani.

    ukifungua kampuni HAKUNA changamoto utakazokabiliana nazo zaidi ya documents zinazohitajika kwa kazi hiyo zaidi faida ndio nyingi zaidi kwani utaaminika na wateja na hata wafanyakazi utakao waajiri Kuhusu kodi za TRA hapo wao kwa mujibu wa sharia za makapuni serikali yaani TRA wanachukua...
  4. A

    Biashara ya usambazaji bidhaa za dukani.

    Duuh waafrika bana wanapenda kulalia changamoto za wenzao mwenzenu anaomba ushauri note mnaingiza shida zenu mfano huyo jamaa ambaye anataka kumsajilia kampuni kibusara zaidi mueleze faida ya kampuni na tozo atakazo kutana nazo ndio mwisho umpe TANGAZO lako na kama ni kweli shughuli zako ni hizo...
  5. A

    ⚠️Soma Hii Kama Bado unateswa na Mikopo Kausha Damu Na... unatamani Kujinasua na Kujua Mbinu sahahi za kuweza Kutoboa Kupitia Mikopo_

    Mimi nataka kuchukua mkopo nianzishe biashara nishauri nini cha kuzingatia najua umeshauri usichukue mkopo kuanzisha biashara lakini si namna nishauri mkuu
  6. A

    Hizi ndio biashara ambazo unaweza kufanya na zikakupatia utajiri mkubwa kwa haraka

    Mwenyewe uzoefu wa biashara ya mkaa anambie inalipa au vipi nina 2m nataka nianze kuna watu wana sema ni biashara ya laana
  7. A

    Hizi ndio biashara ambazo unaweza kufanya na zikakupatia utajiri mkubwa kwa haraka

    Hii inamaanisha biashara ya mkaa haina utajiri sio
  8. A

    Hatimaye China imeshinda vita vya ushuru dhidi ya Marekani. Mkutano uliofanyika Geneva kati ya mataifa hayo mawili lilikuwa ni ombi la Marekani

    Hapo msichoelewa ni kwamba hizo ni rate ambazo zilikuapo mwanzoni kabla trump kufanya mabadiliko na zilikua fare kwa pande zote mbili kwa sababu marekani gharama za uzalishaji vitu vyake ipo juu ukilinganisha na china
  9. A

    Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

    Yametimia chadema inaenda kuzimu
  10. A

    Nina laki 9 nataka nichukue pikipiki used ya laki 5 halafu inayobaki nichukue dagaa wa kukaanga wa Mwanza niuze kwa rejareja na jumla

    Sahihi hizi pikipiki kwa bei hiyo unaipata nzuri tu mm mwenyewe nimenunua kea bei hiyo hiyo na na dunda ALHAMDULILLAH
Back
Top Bottom