Recent content by abuuadil

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kuconnect na Wataalamu wazoefu wa Interior design

    Kwa wale wataalamu na wazoefu wa interior design (commercial na villas) tuwasiliane, kampuni au freelancer
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielekeze jinsi ya kuondoa facebook preload video

    Nenda kwenye settings halafu fungua media, utaona never autoplay video, hapo changua, yaani iclick itakuwa blue, ukifanya hivyo autoplay utakua imeondoka ukitaka kuirudisha autoplay iclick tena itarudi autoplay
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

    Mimi natumia fast charger hii inacharge i phone 100 % within 20-30 minutes, ziko aina nyingi bei yake iko juu kulinganisha na chaja za kawaida,lakini utasahau usumbufu wa kuchaji mara kwa mara, inauzwa na cable yake
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ujenzi wa Ulaya (Ukraine) hawaweki lenta?

    Inategemea matufali ya aina gani, kama matufali ni mepesi basi hiyo frame ya mlango au dirisha inatosha kubeba uzito haina haja ya lintel. Kama Matufali ya kuchonga kwenye mawe ni mepesi sana. Vili vile hizi nyumba za zamani frme zake za milango na madirisha ni heavy duty na zinadumu muda...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ujenzi wa Ulaya (Ukraine) hawaweki lenta?

    Fafanua suala lako, sijakuelewa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ujenzi wa Ulaya (Ukraine) hawaweki lenta?

    Nafikiri ni muhimu kutafautisha baina lintel ana beam
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ujenzi wa Ulaya (Ukraine) hawaweki lenta?

    Kwenye hizo nyumba ziko lintel lakini ni za matofali yaliyochanganywa na chuma. Lintel ziko za aina nyingi tu, lintel za zege ilyochanganywa na chuma ni moja wapo.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma vipimo kutoka kwenye Ramani

    Ni muhimu kwanza kufahamu scale ni nini: Scale ni uwiano wa kitu kati ya model(mfano ) na actual( halisi au kama kilivyo). Kwa nini tunatumia scale - tunatumia scale kudogosha au kukuza kitu kwenye mchoro, kwa mfano wa nyumba huwezi kuichora nyumba kama ilivyo inabidi uidogoshe ili uweze...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

    Nafikiri hapo itakuwa aliyekopesha hakufanya due diligence,
  10. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya 'Online shop'

    Kufanikiwa katika online shop unahitaji vitu vitatu vikubwa 1. Bidhaa yenye demand katika jamii. 2.Bei poa ili watu wanunue kwa wingi 3.Network nzuri ya kilogistiki ya kudeliver na kureturn material, ili uweze kupeleka order siku ile ile au siku inayofuata(fast delivery). Hii point ya tatu ndio...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

    Fungua finance company (crowd funding) ya kuwakopesha wafanyabiashara, nafikiri kitu kama hichi kitawasaidia wafanyabiashara wengi wanaotafuta mtaji/ mkopo kwa bei nafuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu biashara ya kuagiza bidhaa China

    Jaribu kununua vitu vya bei ndogo kama mifuko ya karatasi, au hata sample ufanye mazoezi ya kununua, hakikisha mawasilisno yako unayafanya kupitia alibaba, na malipo kupitia alibaba kwa kutumia credit au debit, kama huna unaweza kutumia ya jamaa au rafiki.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Soko la used computer UAE

    Wazo zuri, tutalifanyia kazi
  14. A

    JamiiForums Tanzania Soko la used computer UAE

    Kwa wale walioko kwenye soko la kuuza used computers na spare part au accessory zake na wanatafuta soko la kununua vifaa hivi kwa bei poa ya jumla karibuni UAE, soko linajitosheleza kabisa, unachokitaka kwenye hili soko utakipata, model kuanzia 2010 and above. Kwa maelezo zaidi niletee DM
Back
Top Bottom