Recent content by abuu mwasiti

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msumbiji hakuna ISIS, ni usanii na dhulma. Ukifuatana nami utajua

    Hawana macho, wala hawana masikio hata uje nahoja fan juu Yao kamwe hawatakuelewa, kifupi nikwamba hawajui nahawako tayar kutaka kujua wao walisikialo ndo lakweli,
  2. A

    JamiiForums Tanzania Israel imeonya haitakubali kamwe kuona Iran inamiliki NUKES

    Tena israil ndoinafanya halikua mbaya sababu Hawa jamaaleowamezidisha kiwang Sasa ni asilimia60, swali lakujiuliza,,,, nikwann marekan wanadeel navikwazo2 hawampigi Iran kama wanavofanya Iraq sirya nakwingineko? Kwann Trump vikwazo vyake vilishindwa kuinyamazisha Iran? Kwann joe aliahid kua...
  3. A

    JamiiForums Tanzania China yakamata viungo vya uume (Human Penis) 7,221 katika meli ya mizigo tokea Lagos

    Maalim wang,, umepatwa nann? Mbona maneno ya amna hii
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kaini alipata wapi mke wake?

    Ukitaka kujua haya mambo vizua lazima ujue Adam alitoka wap, na baada ya kuumbwa na kufanya makosa nakuletea dunian,, je, walikuja Kwa pamoja na hawa? Jibu hapa hawakuja pamoja, je, Adam alimtafuta Hawa Kwa miaka mingap mpak kupata? Jibu nimiaka arobain.je Adam aliishi miaka mingapi? Jibu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Myanmar: Watu 114 wauawa kwa siku moja

    Hii Dunia nijela, ukiwa unahela nishida ukiwa huna hela nishida ukiwa umeshiba nishida ukiwa una njaa nishida, ukiwa mzim nishida na ukiwa magonjwa ni shida
  6. A

    JamiiForums Tanzania Marekani awaomba NATO kuungana dhidi ya China

    Du,
  7. A

    JamiiForums Tanzania Yaelezwa Marekani haiwezi tena kushinda vita

    Umenena kiongoz, kwamfano Iraq halinimbaya Sana maana wale mashia wameumgana na Iran nahili nikosa kubwa Sana marekan watalijutia maisha Yao yote
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alindwe Afya yake

    Ungeanza na maneno Mazur I namna hii mwanzo inge pendeza San ila maneno yako yamenostua Sana yaan umnyonye mtu Mavi yake, hii Dunia inapoelekea mwenyez atunusuru tuko mahal pabaya San, watu hawajifunz kwakukiona kifo Bali watu wanasherehekea nakufurahi we zao wakifa je nilin kuni iliyodaarin...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alindwe Afya yake

    Alipambana na wenye fedha akawa Ana vilivo naakawaambia mtaishi kama mashetan wanyonge walimuelewa sna nandohao wako wanapigana viwanjan kumuaga wakimlilia kwadhat wamepangana mabarabaran wakimtandikia kanga, hii ni ishara njema kwake, yy ameshaenda hayupo Tena nahamtamuona Tena, alikua napita...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alindwe Afya yake

    Pia watu hawajui2 kua Rais nitaasisi kubwa San waliopotea ama kuuwawa nisawa2 kutokana na nafas yake ilivokubwa, niambie nirahis Gan aliewaikuja dunian tunaemjua natusiemjua ambae haijawai kuuwa wapinzan wake? Yeyote atakaevuruga utawala wake lazima amshuhulikie2 hii nihulka ya binadam na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alindwe Afya yake

    Tuombe mwisho mwema hii Dunia nijela nakila nafs itaonja kufa hata kabla ya Korona watu walikua wanakua, kifo nisababu2
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alindwe Afya yake

    Rais nitaasisi kubwa San swala lakuua au kutoka mauaji kwaajili ya uslama wataasisi yake nijambo lakwaida San haiwez kumuondolea uungwana wake nautu wake
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alindwe Afya yake

    Mtu amejificha chin ya ulimi wake, hata yesu aliwaambia Tajiri kukuona ufalme wambingun nisawa na ngamia kupenya kwenye tundu lasindano, baada ya pale Walimfanya nn?
  14. A

    JamiiForums Tanzania CBS yamlipa Oprah Winfrey $8M kwa kuwahoji Harry na Meghan

    Hapa nimeshiba kaka
Back
Top Bottom