Nasubiria mawili....
kwa kuwa huu n udhaifu wa wazi kwa wizara husika hvyo nasubiri kutumbuliwa kwa ndalichako ama kujiuzulu kwa ndalichako".
Magufuli babaaa, fanya kama ulivyosema wakati wa kampeni zako,
Magufuli aliona aibu kuita daraja la kikwete, kwa mimi naona bora liitwe hvyohvyo "kigamboni bridge" maana magufuli kaonesha chuki za wazi kwa mzee wa msoga
Umeanza vizuri lakin umemalizia maneno ya kibaguzi ambayo inakupasa uombe tawba ktk hlo. Ndyo maana wazanzibar hamsomi dini na bdo mumegandana na bidaa, kwa kuwa munamezexhwa sumu za kipumbavu kuhusu mashekh wa bara. Simuungi mkono yeyeto kati ya huyo shekh wa chanel 10, wewe na shekhe. Somen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.