Recent content by Abuu hanifa

  1. A

    Mitambo ya IPTL imeibiwa na jengo kubaki Gofu. Iliwekwa rehani na Herbinder Seth

    Ukiisoma hii habari nchi hii ina kitendawili kimoja hakijateguliwa. Kuna hii orodha ya watu was watu kwa mujibu wa imani zao za asili. Kwa maana si watu wabaya, si magaidi. Wanatabia nzuri sana. Orodha ni mrefu Harbinder Singh Sethi James Rugemalira Sospeter Muhongo Anna Tibaijuka...
  2. A

    34% ya Wagonjwa Hospitalini wanasumbuliwa na Magonjwa Yasiyoambukiza

    Hivi bajeti ya kukimbiza mwenge ni sh ngp Bajeti ya kuwalisha dawa watumia unga sh ngapi Bajeti kwa wagonjwa was ukimwi ni sh ngapi Bajeti ya kuendesha shirika la ndege ni sh ngapi. Mambo yote haya ni liability kwa serikali ambayo inaweka vipaumbele kugharamia anasa au madhara yanayotokana na...
  3. A

    Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

    Maoni kutoka kwa wakenya Kichocheo cha ushoga ni siasa za mrengo wa USA na EU Kuna haja ya kuanzisha chama chenye mrengo wa siasa za mrengo wa UAE Dunia inaulilia ustaarabu huu na mfamo mzuri tuliuona ktk mashindano ya kombe la dunia la Qatar. Mashindano yaliyoingizia faida kubwa FIFA bila...
  4. A

    Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

    Kwa ufupi mtu yyt aliyezaliwa kando kando ya bahari hana asili ya afrika. Na kama mtoa mada anataka turudi ktk tamaduni wa kiafrika basi aanze kuvaa magome na nguzi za wanyama
  5. A

    Inakuwaje mtu mwenye akili zake timamu anaamini mambo ya Mungu, shetani, uchawi na majini?

    Wewe umetokana na imani ya kiktristo. Ni ni imani yenye mapungufu mengi yanayopelekea wafuasi wake kutoji na kisha kutopewa majibu ya yenye kukinaisha. Waislam hatuna na shaka na Uwepo wa MwenyeziMungu. Na hapa napenda niweke sawa jambo moja kuna mungu ambapo wana uwingi kwa maana ya Miungu...
  6. A

    Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Tuende na takwimu kwa kujiuliza maswali haya. Ni awamu gani ya Rais ambae Baraza lake la mawaziri halikujaa mawaziri wa dini moja Idadi sasa ikoje ukilinganisha na marais waliofanya uwino wa baraza la mawaziri.
  7. A

    Serikali zote duniani hazitaki watu wajue ukweli

    Magu alisema unataka serikali ikulishe. Lkn ukweli ni kuwa ukiwa na serikali inayoamini ktk uchumi wa kodi badala ya uzalishaji lzm tupitie maumivu haya. Binafsi Nina mifano hai. Nazi inayouzwa dar sh 1500 mwenye shamba anaiuza kwa sh 250 hadi 300 Lindi. Fenesi linalouzwa dar 4000 mkulima...
  8. A

    Serikali zote duniani hazitaki watu wajue ukweli

    Tena uipate serikali au watendaji ambao wakiwa ktk majukumu yao ya kiserikali hapo dini wanaiweka pembeni na kubaki hawana dini. Ogopa sana. Hapo ujue dini yao na Mungu wao ni pesa pekee.
  9. A

    Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

    Utakuwa umepatwa na vita ya misinformation. Au leta ushahidi.
  10. A

    Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

    Kwanza nikupe hongera kwa kuongea kile unachokijua. You are what U learn. Hata hivyo kumbuka ktk dunia tulionayo kuna vita kubwa sana inayoendelea. Information warfare. Ktk vita hii kuna misinformation na disinformation. Ktk makala yako pamoja na kusimama roho yako ikiwa huru hata hivyo...
  11. A

    Nahitaji Desktop ya kununua

    We uko wapi kwani PC ziko twangoma kituo cha sako. Kama uko tayari nambie kesho nizitayarishe ziwe sawa k.kutwa uje kufata mzigo. Kkama uko tayari toa namba yako ya simu
  12. A

    Nahitaji Desktop ya kununua

    Nitafute. Nitakupa Pentium 4 pamoja na screen. Zipo store. Utahitaji kuinstall program wewe mwenyewe, zipo mbili
  13. A

    "Tunataka maendeleo ya watu badala ya vitu," kauli ya CHADEMA ambayo imeshafanyiwa kazi na Rias Samia

    Mwambie aende muhimbili. Kama ana utu atalia na kuuliza kwanini mlinificha. Kuna RAIA hawapaswi kuitwa watanzania. Mtanzanua ni yule ataepata huduma ambazo watz ni hali yao kama elimu, afya nk Ukienda muhimbili huduma wagonjwa wanacheleweshwa sana kupata huduma. Kwa mfano vilipo 10...
  14. A

    Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

    Nianze kwa kuuliza ni utamaduni gani kwasasa ni unakubalika na matabaka yote. Wa kimagharibi (marekani na ulaya) Wa kimashariki ( Russia na China Wa mashariki ya kati (Utamafuni wa kiislam) Pili yawezekana kabisa mleta mada katoa taarifa hizi kutoka kwa mchungaji wake wa kilokole. Else...
  15. A

    Waislamu nielewesheni, Baraza la Ulamaa ni nini hasa?

    Kwa hiyo kwa tz unaweza kusema bakwata kuna ulamaa?!?; ukiwasikiliza wanapoongea na wanavyotoa hukumu utaweza kusema kula ulamaa ukiwafananisha na shkh ilunga. Yule alitesoma, akaelewa akachambua, akabobea ktk mtazamo sahihi. Hugo ndie ulamaa
Back
Top Bottom