Ndoa mke zaidi ya mmoja wataipinga, watakwambia ni unyanyasaji
Lakini Mwanamke kupigwa miti na watu wawili au zaidi kwa pamoja safi tu
Au Wanawake wawili kupigwa kwa pamoja na jamaa mmoja sawa tu
🚮🚮
Ni dalili ya kuwa husomi, unaupungufu wa shule kichwani
Ukiwa umejiandaa vyema hutaogopa mitihani bali ndio utaomba ije kila siku, kwasababu ikija unaibutua
Kuwa na mapenzi kwa unachokisomea, usome kama mtu ambae unataka kuwa expert kwenye hilo eneo lako
Umetema madini mzee..
Maskini aliejisahau ni mzigo mkubwa, apo ata familia inaweza kuja kukuletea sulubu baadae, umeangalia mbali sana
Kwaiyo Matako makubwa anajichoresha tu
Umeongea ukweli mtupu
Kabla hujaoa hakikisha mwanamke kuwa anakupenda kinyume na hapo Majuto ni mjukuu
“Women are loyal to their feeling”
Kama uko kwenye feeling zake uyo ni wa kwako ila kama haupo hamna rangi utaacha kuiona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.