Recent content by Abunuas

  1. A

    Dubai walifanya Royal Tour lini? Wapi?

    tatizo una upeo mdogo sana. kuna vitu vidogo sana unashindwa kung'amua. kama Dubai wametumia njia fulani sio lazima na sisi tutumie hiyo hiyo. wakati mwengine mazingira hayafanani na mahitaji ya wakati pia. Royal tour ni kwa mazingira yetu. kagame yeye kafanya royal tour na bado anatumia akina...
  2. A

    Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile ashiriki katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa na Rais Samia

    nasema hivi, hao wavaa makobasi wa kondoa watachelewa sana! waendelee kufuturishwa tu!
  3. A

    Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile ashiriki katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa na Rais Samia

    kushukuru kwa futari? kwani walikuwa hawafuturu hapo kabla na baada? kuweni serious bac.
  4. A

    Nchi hii raia wanaishi kwa hofu leo nimevamiwa na vibaka mkuki umenisaidia

    sina maana hiyo mkuu. lakini najaribu tu kujiuliza kiuhalisia. huo muda wa kuhesabu ndo hasa penye maswali hapo mpaka na kupata idadi kamili.
  5. A

    Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    kwa taarfa yako magu asingetoka madarakani! alishakuwa akina m7 na kagame tayari!
  6. A

    Dubai walifanya Royal Tour lini? Wapi?

    takwimu kwa huo ujinga ulioandika? kwani lazima approaches zifanane? utakuwa sio mzima wewe.
  7. A

    Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    nani kakuambia kuwa magu alikuwa na mpango wa kutoka madarakani? acha kujadili vitu ambavyo visingewezekana.
  8. A

    Nchi hii raia wanaishi kwa hofu leo nimevamiwa na vibaka mkuki umenisaidia

    kama porojo vile. saa 9 usiku uliweza mpaka kuwahesabu? kwani walijikusanya sehemu moja kama maembe?
  9. A

    Rais Samia kukopa(tena) 1billion USD from IMF

    Mama tuonee huruma watanzania. Hay madeni makubwa makubwa yatatupa shida sana mbeleni. Fanya kile unachoweza kwa vyanzo vya ndani. hata ufanyejeTanzania haiwezi kugeuka ulaya over night. wanasemaga wenyewe hata roma haijajengwa siku moja. na wala watanzania hawanaga shukurani. elewa hilo.
  10. A

    Taratibu woga umeanza kuwaondoka wananchi

    gang unatetea dala2 kupandisha abiria kwenye traffic light? maajabu haya.
  11. A

    Buswati la Royal Tour

    hao mbwa wala hawawezi kukuelewa.
  12. A

    Buswati la Royal Tour

    bange waachie wanaume. wanawake mnaweza mung'unya tubako.
  13. A

    Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

    mbona ana watoto kazaa na rose kamili? fuatilia utalijua hijo.
Back
Top Bottom