Kwani umeona chupa za pombe kwenye hiyo video? au wewe unayo video nyingine? kwani umeambiwa hapo nyumbani kwake walifanya kikao chumbani? Lwakatare na vick ni washirika wa muda mrefu. mazungumz ya vick na mtu aliyeingia au kupita na kuwasalimia kisha kumuuliza vick habari za siku, naona...
Acha jazba. Hapa CHADEMA inaingiaje? Lwakatare ana kesi ya kujibu. Acha akaeleze juu ya hayo aliyonukuliwa kwenye clips. Siamini kama wewe ni miongoni wa washirika wa Lwakatare. Au siamini kama CHADEMA wamemtuma kufanya uhaini huo alioufanya.
Nimeisikiliza hiyo video kwenye YouTube. Kwa kweli nitashangaa ikiwa Lwakatare bado yuko nje hajaswekwa lubango mpaka sasa. Huyu jamaa ni shushu mstaafu, naona ushushu wake anauendeleza CDM.
Naam Qur'an iko wazi juu ya ukafiri wa wakiristo. Na hili neno ukafiri si tusi wala kashfa.
Suala la kanisa lina parallel army si la waislam kuzua. Wamesema wenyewe maaskofu. Lakini hii ni issue ya serikali kusema ikiwa huu ni uzushi. Kwanini serikali inakuwa kimya. Mbona magazeti tu ya udaku...
Itabidi wewe uanze kuthibitisha uraia wako kwanza kabla ya kuhoji uraia wa mwingine. Maana isije ikawa na wewe si raia. Lete certified copy ya birth certficate yako na wazazi wako kuthibitisha kweli wewe ni raia halali wa tanzania.
Jibuni hoja. acheni maajungu. Fanyeni tafiti kabla hamja conclude kuwa eti thread ya tunte ni majungu. Slaa si malaika, ana tuhuma kibao. Moja iko wazi. Kutelekeza familia na kuchukua mke wa mtu.
Mbona hamtii neno hapa. Hii ni sehemu ndogo tu ya ushahidi. Je, waislam wakihoji hili ni wadini au wachochezi? Baraza la Mitihani halijatajwa, TRA bado, Waizara ya fedha bado haijatajwa. Hebu angali hayo mamilioni ya Tsh yalienda kwenye taasi za kanisa. Hii ni sehemu ndogo tu. nadhani ni just a...
1. Kashfa gani dhidi ya wakirsto inayoendezwa na waislam. atoe definition ya kashfa. He is too generous. Kwani muislam akisema Yes si mungu, hakufa, wala hakufufuka ni kashfa? juu ya nani?
2. Waislam hawawezi kuchoma Bibilia sembuse Qur'an! Alete ushahidi wa wazi. sio kuropoka tu. Moja katika...
Kama ni kundi haramu eti kwa kujadili Muungano, je Slaa naye ni haini kwa kukataa kuutambua muungano kwa kuwa hajawahi kuiona hati ya Muungano?? Waacheni wa Zb waamue hatima yao. Watanganyika hamna haki ya kuwaamulia Wazenj wanachotaka. Halafu kuna mmoja hapa JF anasema eti kundi la Uamsho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.