Recent content by Abu Salma

  1. A

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu DRC Bravo Kwenu

    Sijawahi kuona professor wa kikongo toka nimezaliwa, nawaona wanenguaji tu! Na wanaojichubua.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kumbe Maofisa balozi za Tanzania nje ya nchi wanaringa hivi?

    Hapa South Africa nilipata kwenda kwenye Ubalozi wa Nigeria kwa ajili ya visa ya kutembelea kwao Wallah! Nilishangaa hawa jamaa wanavyo thamini watu wao na si kama TZ, kwanza ktk huduma zao hakuna democracy Nigerians first kisha ndiyo mataifa mengine kwa kuhudumiwa na pia Ubalozini kwao kila M...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Nyerere, Mwinyi na Mkapa walifanya ziara kuaga nchi wahisani?

    Generalise not good at all, hapa tuna mzungumzia Rais Kikwete na si watu wa Pwani,
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yapitisha sheria kuruhusu mahusiano ya Jinsia moja

    Africa...Africa!! Instead of thinking how to help their citizens kuepeka janga la umasikini wao wanawaza ngono...tu!.
  5. A

    JamiiForums Tanzania South African President on State Visit to Mozambique

    Ipo sababu ambayo baadhi inatufanya tuwepo hapa but wakati ukifika tutarejea tu!.
  6. A

    JamiiForums Tanzania South African President on State Visit to Mozambique

    Mimi nipo hapa JohanneSburg nikiishi kw muda mrefu sasa ila kwa kweli ukiangalia hivi vitendo ambavyo tunafanyiwa wageni hapa hasa wa Afrika ni vya kinyama kabisa, na ninacho shangaa ni kwamba hata serikali ya Soith Africa nayo imechangia kwa kiwango kikubwa sana kuenea kwa hizi vurugu hapa, as...
  7. A

    JamiiForums Tanzania South African President on State Visit to Mozambique

    Hapo ni maslahi tu, sababu umeme wanategemea utoke Msumbiji na baada ya mashambulizi kutokea rais wa msumbuji hakuwahi kusema chochote bali alicho fanya ni kufanya ziara ya siku 3 nchini Tanzania. Je kuna nini hapa?
Back
Top Bottom