South African President on State Visit to Mozambique

South African President on State Visit to Mozambique

Abu Salma

Member
Joined
May 19, 2015
Posts
7
Reaction score
2
Hapo ni maslahi tu, sababu umeme wanategemea utoke Msumbiji na baada ya mashambulizi kutokea rais wa msumbuji hakuwahi kusema chochote bali alicho fanya ni kufanya ziara ya siku 3 nchini Tanzania. Je kuna nini hapa?

Mozambique's president is hosting his South African counterpart on a state visit.

President Filipe Nyusi on Wednesday welcomed South African President Jacob Zuma in the Mozambican capital Maputo.

Nyusi's office said in statement that the two presidents are to discuss the recent wave of anti-immigrant attacks in South Africa. A Mozambican immigrant was one of seven people killed in that violence.

Mozambique's labor ministry said around 40,000 Mozambicans work in South Africa's mines.

The South African presidency said in a statement that neighboring Mozambique is the country's top trading partner in Africa.

The statement said Zuma was accompanied South Africa's ministers of energy, defense and environmental affairs.

Zuma and his delegation were met with musical performances and a 21-gun salute.

Source:
abcnews.go.com
 
Msumbiji hasa ndiyo Jacob Zuma alikoishi kama mkimbizi hadi mwaka 1990 wakati wa ubaguzi wa rangi. Kwa namna walivoishi naye kama ndugu yao, basi hivi vitendo ambavyo wananchi wa Msumbiji wammefanyiwa na Wazulu ambalo ndilo kabisa analotoka Zuma, basi sioni kama kuna msamaha wowote wa dhati ambao unawezekana. Ni aibu ya Zuma na wenzie ambao wameshindwa kuwaelekeza raia wao juu ya mchango wa nchi za Kaskazini mwa Limpopo walivojitoa kwa umaskini wao kuwahifadhi.
 
Mimi nipo hapa JohanneSburg nikiishi kw muda mrefu sasa ila kwa kweli ukiangalia hivi vitendo ambavyo tunafanyiwa wageni hapa hasa wa Afrika ni vya kinyama kabisa, na ninacho shangaa ni kwamba hata serikali ya Soith Africa nayo imechangia kwa kiwango kikubwa sana kuenea kwa hizi vurugu hapa, as African I would suggest to the all heads of State to Boycott S.Africa n not to come to the AU Summit that is going to take place here in Sandton.
 
Mnafanyiwa unyama na wenyeji kwa sababu nyie ni wageni/ wahamiaji...

Si mrudi kwenu tu....

Mnaendelea kung'ang'ania kuishi huki kwa nini?
 
Ipo sababu ambayo baadhi inatufanya tuwepo hapa but wakati ukifika tutarejea tu!.
 
Back
Top Bottom