Recent content by Abu Hamdy

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hate leaflets against Luos spreading in Rift Valley

    Jubilee government wameshaoona next year hawatapata kura za kutosha kutoka kwa Wakelenjin sasa huu mpango wa kutawanya vikaratasi vya chuki ni kujaribu kuwagawa Waluo na Wakelenjin. This time William Ruto will never be a kingmaker from Bonde la ufa.
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Emerging rift between Uganda and Tanzania

    Jubilee government wana hali mbaya sana katika uchaguzi unakuja wanatafuta sympathy ya Serikali ya Israel ili wachakachue uchaguzi wa mwaka kesho. Rais Mseveni wa Uganda anajua alichokifanya uchaguzi mkuu uliopita na alikuwa isolated na International Community sasa anataka arudi na kuonekana...
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Emerging rift between Uganda and Tanzania

    Tanzania can not accept to attend Uganda meeting because Israel is the first country in the world for sponsoring terrorism in the world. How many Palestina are dying daily in the hand of Benjamin Natanyahu government. Shameful for the leaders who attended meeting with Apartheid Prime Minister of...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) yupo kama hayupo

    Kusema Chadema ni Chama kina maadili ya Demokrasi ni uongo, kumbukeni Mzee alipohama kutoka CCM Dr Slaa mmoja waasisi wa chama aliwekwa pembeni, defector kutoka CCM akawa mgombea pekee bila kupigiwa kura ndani ya chama, mtindo huo huo ukatumika kumpata Katibu mkuu mpya. Ninaweza kuita Chadema ni...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) yupo kama hayupo

    Huyu sio Executive Secretary ni Ceremonial Secretary. Hakuchaguliwa na wanachama bali aliteuliwa na Mbowe kulinda maslahi yake
  6. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Umetimiza Mambo Tisa Bado Moja

    Mheshimiwa Rais baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wewe ndio uliyeibuka mshindi, baada ya kula kiapo cha Urais ulikiri kuwa Rais ama Kiongozi wa Watanzania wote bila kujali chama chochote. Kwa kipindi kifupi cha utawala wako kwa muda mfupi umefanya vitu vizuri sana ambazo Watanzania hawakutegemea...
  7. A

    JamiiForums Tanzania mh. Magufuli kama sh. Ponda: mali za waislamu zikombolewe

    Pepo ya Mwenyezi Mungu inakusubiri mkuu kwani umefanya mambo even viongozi waliokutangulia hawajawahi kufanya. Sisi Watanzania kila sala zetu tunakuombea Mungu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Waziri Mkuu Piga Maruufuku Viroba Kwanza Kabla Ya Shisha

    Maafa ya viroba haijakufikia ndio maana unaropoka ovyo ama una kiwanda cha viroba nyumbani kwenye. Hii Serikali ya Magufuli haitaji kodi ya viroba vyako kuendesha nchi. Hapa tuna discuss athari za viroba
  9. A

    JamiiForums Tanzania The EastAfrican: Magufuli’s a dictator, How elites warp reality

    D Don't you know that Ukawa leaders are most corrupt people in this country.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Waziri Mkuu Piga Maruufuku Viroba Kwanza Kabla Ya Shisha

    Mheshimiwa Waziri Mkuu nashukuru sana kwa agizo lako la kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, lakini ningekushauri Na Viroba vinafaa kupigwa marufuku pia kwani Viroba vimeleta maafa makubwa nchini kwa vijana na athari kubwa tumepoteza na tutaendelea kupoteza idadi kubwa ya vijana kwa matatizo ya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Sera ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Rais Magufuli

    Hivi ndugu zangu yule aliyemtangulia Rais Magufuli alifanya ziara nyingi duniani kuvunja rekodi ya Dr Henry Kissinger aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje miaka ya sabini mkalalamika sana. Rais Magufuli ameamua kukaa ndani nchi kusafisha na kuwatengenezea nchi bado mna lalamika kwanini hasafiri...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Sera ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Rais Magufuli

    Watanzania walipomchagua Rais Magafuli walitaka kiongozi ambaye ataleta mabadiliko hapa Tanzania kwahiyo hiyo sio lazima ajue lazima viongozi wa Dunia yote. Majuzi mgombea uchaguzi wa Marekani Donald Trumph alishindwa kuu pronounce jina la Tanzania, kwasasa ndio kipenzi cha wapiga kura wa Marekani.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Sera ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Rais Magufuli

    To have Big head and the same time to have low capability of thinking ni tatizo kubwa sana.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Sera ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Rais Magufuli

    Umeshaona kiongozi yeyote anaenda kutembelea Eritrea ama umeshaona kiongozi wa Eritrea akitembelea nchi yeyote, nenda ukaone maendeleo ya nchi hiyo ndogo Afrika ilivyopiga hatua katika masuala ya huduma kwa jamii. Sio lazima kwa Rais wa nchi ya Tanzania apigie magoti wahisani ama wafadhili...
Back
Top Bottom