Mheshimiwa Rais baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wewe ndio uliyeibuka mshindi, baada ya kula kiapo cha Urais ulikiri kuwa Rais ama Kiongozi wa Watanzania wote bila kujali chama chochote.
Kwa kipindi kifupi cha utawala wako kwa muda mfupi umefanya vitu vizuri sana ambazo Watanzania hawakutegemea kupata kutoka kwa kiongozi ndani ya CCM, hili tatizo na vyama vya upinzani usipooangalia itaharibu legacy yako mimi nakushauri wape uhuru wa kufanya mikutano yao na wala usiwafukuze bungeni waache wawe na uhuru wa kuzungumza na kutoa maoni yao.
Kupata upinzani hiyo ndio demokrasi inapokomaa . Mfano baada uchaguzi wa Africa ya kusini mwaka 1994 Hayati Nelson Mandela alimchagua hasimu wake mkubwa Chief Buthelezi kutoka chama cha upinzani kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani huo nakupa mfano wa demokrasia.
Vyama vya upinzani ukivibana sana utazipa umaarufu lakini ukivipa uhuru vitakufa natural death. Ukitekeleza hilo tu Mheshimiwa Rais ujue 2020 ama 2025 kama Mwenyezi Mungu akitujalia bila wasiwasi zawadi ya MO IBRAHIM inayotolewa kwa viongozi bora Afrika itakuwa yako.