Recent content by Abshallom

  1. Abshallom

    Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Mi huwa najiuliza sana, hivi Mungu akikuonyesha unabii kuhusu pending disaster, maana yake nini? Je tukae tusubiri litokee halafu tumshukuru Mungu kwa kutuonyesha janga hilo au ndio muda mwafaka wa kuomba rehema ili Mungu atuepushe na janga hilo! Inanipa shida kuona Mungu anamfunulia mtu kitu...
  2. Abshallom

    Je, Rais Magufuli atahudhuria kikao cha UN General Assembly cha mwaka huu?

    Kuanzia kwa mtoa mada na wewe mchangiaji, hakuna yoyote mwenye hoja yenye mashiko. Unatamkaje kwa mamlaka wakati tamko unalotoa halina utekelezaji wenye tija? kwenda au kutokwenda hakuna jipya. Bora afanye ziara France au Netherlands au hata Nchi za Scandinavian kuliko UN. What is the impact...
  3. Abshallom

    Naomba ushauri kuhusu kiwanda cha vinywaji

    Aisee hili wazo ni kubwa saana, Nadhani tafuta manufacturing business consultants au zama kisiri kwenye viwanda ulivyotaja ukiwa kama kibarua, hii itakusaidia kujua 2,3 ya uendeshaji wa viwanda hivi. Hapa Utapata ushauri ila sidhani Kama utakidhi mahitaji
  4. Abshallom

    "Naomba tufanye ya mwisho mwisho basi"

    Huu mjadala ni subjective, wote waliowahi Kufanya hivyo wanatetea na wasiowahi wanapinga. Mi niko upande wa wanaopinga, huu mlango wa zinaa na uasherati unafungua backdoor nyingi sana ambazo huleta shida kwenye familia Mpya pasipo wengi kujua mlango uliosababisha shida hizo. Nashauri tu, hakuna...
  5. Abshallom

    The story behind Green Miles Safari in Tanzania (PETITION)

    All else equal, in your perception what would you advise the government as a way forward
  6. Abshallom

    VODACOM: Sheria za nchi zinatulazimisha kukubaliana na matakwa ya TCRA

    Kabisa kiongozi, wabongo sijui akili zetu zikoje, watu ni wavivu sana wa kufikiri. Yaani hata kuwaza nje ya box wameshindwa. Kimsingi mtandao wowote unaoutumia unatoa taarifa zako kwa mamlaka iliyopo madarakani na hii ni tangu enzi za Mkapa. Sema watu wanaona kama imeanza leo kwa kuwa huko nyuma...
  7. Abshallom

    USD Bilioni 52.8 ( TZS 121 Trilioni ) zilizozuiwa na Magufuli kuingia kwenye Uchumi wa Tanzania tangu mwaka 2015

    Kwa ufahamu wako uchumi unafanyaje kazi. Economics is a multidisciplinary field. Sio kila mradi unaoona wewe unafaa basi unakuwa unafaa kwa wote. Economic decisions are made based on the prior and existing information, which may be readily available or not. Hata wewe ungekuwa Rais Kuna maamuzi...
  8. Abshallom

    USD Bilioni 52.8 ( TZS 121 Trilioni ) zilizozuiwa na Magufuli kuingia kwenye Uchumi wa Tanzania tangu mwaka 2015

    Hizi FDI mtoa mada ni za kuziangalia kwa makini. Hizi ni subsidiary firm ambazo zinahitaji makubaliano ya pande mbili ili kuwe na mutual agreement. Sasa kama Serikali haioni manufaa makubwa Kwake inayo haki ya kukataa. By the way miradi mingi ya namna hii iliyopo hapa Nchini haiachi faida kubwa...
  9. Abshallom

    Watuhumiwa wa biashara kongwe zaidi duniani waanikwa

    Kwa kweli imenisikitisha, ila Mungu awasaidie, wakikuhadithia kilichowafikisha hapo, unashusha kamera mwenyewe na kuwaomba samahani
  10. Abshallom

    Kwanini Matajiri, wanasiasa na watu mashuhuri huwa hawaanguki mapepo makanisani?

    Simama vizuri na Mungu, vinginevyo ipo siku utashangaa
  11. Abshallom

    Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video clip yao yavuja

    Hakuna aliye foolproof duniani, so inawezekana mkuu
  12. Abshallom

    Kwanini mathematics ni changamoto sana? Ni kutokana na msingi mbovu au changamoto za Waalimu tulikuwa tunapotoshwa?

    Hesabu sijui zikoje lakini naona Msingi mzuri unachangia kuzipenda. Enzi zangu nilijitahidi sana kuzisolve hesabu lakn sikuwahi fanikiwa. Nimejiuliza swali kama la mtoa mada mpaka basi. Na kwa bahati mbaya ukichukia hesabu Kuna uwezekano wa kuchukia Kemia, fizikia, uchumi n. k, maana akili...
  13. Abshallom

    Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba kuhusu Waraka

    Huwezi kujustify kwa setting hizo, think big
  14. Abshallom

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Comeon!!! hata kama unampenda vipi, unafanyaje kazi na mtu anayepanga propaganda kinyume chako? haya matokeo yako very obvious given the recent released audio [emoji345] clips ambazo hawajazikanusha.
  15. Abshallom

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Kwa muono wangu, alichofanya Rais hakiepukiki. Kwa kweli Kufanya kazi na mtu anayeplot ajenda kinyume chako tena kwa siri huku akisaidiana na watu wakubwa na wenye ushawishi ni kazi sana. Hivyo, pamoja na mazuri ya January, hakuna namna angebaki baada ya hizi clip kuvuja. Hii ni reality ya...
Back
Top Bottom