Alimuomba amnyonye ulimi, si kweli kiwa huo ni utamaduni wa kitibet kunyonyana ndimi. Kukusaidia tuu kuelewa, Dalai lama mwenyewe katika tamko lake la kutaka radhi anasema alikuwa akimtania mtoto huyo.
Kwanza, rais anazungumzia kitendo cha kupeleka over priced invoice ambayo ilipofika kwake na kuhoji imekuwaje kuna tofauti kati ya serikali ilichotakiwa kulipa kwenye installment hiyo ya mwisho na kiasi kilicho kwenye invoice husika iliyoletwa ndipo akapewa sababu zisizo na mashiko. Invoice hiyo...
Ni report gani ya CAG ambayo haikuwahi kuonyesha wizi na mismanagement ya fedha za umma katika kipindi cha miaka 7 iliyopita? Na ni hatua gani zilichukuliwa wakati huo kama si kumfukuza CAG ili kuficha uchafu huo ? Alivhokionyesha CAG kwenye report ya mwaka jana ndicho amekuwa akionyesha wakati...
Waandishi na hao uliowaita "wapashaji" hasingeweza kufanya uchambuzi wa ripoti wasiyonayo, leo ndio imekuwa wazi kwa umma hivyo itachambuliwa sasa. Na kuhusu maswali, hasa hiyo ripoti ndiyo maswali yenyewe. Wanaotakiwa kuulizwa ili wajibu ni serikali.
Kwanza jifunze kuandika vizuri kiswahili, pili huyo "mtu wa juu serikalini aliye takukuru" alikuwa anakueleza ili iweje ? Je angekwambia ilitumika bil 300 ? Tatu, azimio la kumpongeza Samia ni la bunge, tangu lini bunge likatumia bil 80 kwa siku ?
Hela wametoa wapi, haja ya kusaidia katika elimu badala ya nyama na wanawaonaje kuhusu shida zenu nadhani ingefaa uwaulize wao wenyewe nina hakika ungepata jibu lenye uhalisia kuliko nadharia. Suala la nyie mnajiona mna shida gani na kujitolea kwao kuna faida gani kwenu nadhani mlitakiwa...
Alikua huko kama mkuu wa UDSM, kutembelea sehemu za tafiti za malikale, hivyo huo msafara haukuwa wa magari ya rais mstaafu pekee kulikuwa na wakurugenzi wa makumbusho ya taifa, mkuu wa chuo na taasisi na idara nyengine za serikali ambao viongozi wake walikua sehemu ya ziara hiyo. Hata hivyo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.