Recent content by abiko

  1. abiko

    JamiiForums Tanzania Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Ukiona MTU mzima anamuamini Gwajima ujue anashida kwa kichwa. Mzee wa mkono na kiuno cha baunsa
  2. abiko

    JamiiForums Tanzania Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Kwa ufipi Gwajima haubiri anamwaga mipasho na umbea akirukaruka. Simuoni kama ni mtumishi wa mungu ila ni mtafutajimali flani ivi amazing
  3. abiko

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Simama mistari wa pili kama molinga unasimama kama unakunya
  4. abiko

    JamiiForums Tanzania Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

    Akishatoka utaolewa wewe? Unafikiri yeye hapendi Yale mauno ya uzazi?
  5. abiko

    JamiiForums Tanzania Nakiri kuwa na wasiwasi na upakaji wa rangi wa ndege ya Fokker uliofanywa hapa nchini badala ya nje ili kuokoa mamilioni ya fedha

    Wamepaka sina gani ya rangi? Ya maji au ya mafuta? Coral paint? Walitumia msasa kuipaka? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. abiko

    JamiiForums Tanzania A great picture of Christmass tree in Masjid.

    Ukijua utaenda kuutoa alafu mleta habari aonekane muongo
  7. abiko

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

    Huwezi amini kwa sababu huwa huamini nakushauri endelea kutoamini
  8. abiko

    JamiiForums Tanzania Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Masikini hawi tajiri kwa kufurahia anguko la tajiri[emoji41]
  9. abiko

    JamiiForums Tanzania Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Mange ameahakula pesa Yake ya campaign hutaki tena umbea
  10. abiko

    JamiiForums Tanzania RC Makonda umeliingiza Taifa kwenye matatizo makubwa sana

    Kibwengo kingine hiki hapa. [emoji115]
  11. abiko

    JamiiForums Tanzania RC Makonda umeliingiza Taifa kwenye matatizo makubwa sana

    Makonda mwingine huyu hapa [emoji115] Hajui alizungumzalo. Fuatilia dunia inaendaje, huwezi Linda kiungo cha mtu tena kilichojificha kwa kumuweka jela. Period
  12. abiko

    JamiiForums Tanzania Nabii Ellen White: Kubrashi viatu, kunyoa sharubu na kuoga siku ya sabato ni kujitafutia kupishana na Mbingu

    Kwa iyo ratiba za yesu alizijua mapema?[emoji1] [emoji1] mambo mengine hata tusikubali kulishwa matango pori na wachungaji
  13. abiko

    JamiiForums Tanzania Nabii Ellen White: Kubrashi viatu, kunyoa sharubu na kuoga siku ya sabato ni kujitafutia kupishana na Mbingu

    Mkuu huu unafiki umeutoa wapi? Mimi sio SDA lakini kwenye chakula wako sahihi sana tatizo ni ulafi wetu tuu walinionyesha vifungu nikawaelewa sana Tatizo nimeshindwa kuacha Noah maana nyama Yake tamu sana. Napiga kuanzia ile pua hadi mifupa yote
  14. abiko

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkoa wa Iringa hakuna hoteli zenye hadhi ya juu

    Sisi vanyalukolo hatuhitaji hoteli za kifahari tunatandika mkunungu wetu na ukisha tunahamia kwenye vitindi kushushia ulanzi hostel ya kifahari ya nini tena
Back
Top Bottom