Recent content by abigaildon17

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Magufuli kumwajibisha waziri Charles Kitwanga

    Kweli kabisa mkuu. Ukiona mtu anaandamwa sana chunguza kwa makini. Wale mawaziri ambao wako serious wana andamwa sana na shutuma. Hii yote ni kwa lengo la kuwavunja nguvu. Naamini Rais Magufuli anawaelewa vizuri mawaziri wake na hawezi kufanya maamuzi kwa kukurupuka.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Magufuli kumwajibisha waziri Charles Kitwanga

    Kazuia mianya ya kuingiza sembe. Hali ngumu sana sasa.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Magufuli kumwajibisha waziri Charles Kitwanga

    Team Dau na team sembe kazini. Mwaka huu povu litawatoka. Mlitaka Dau abakie NSSF milele? Eti Kitwanga alihusika kuvunja bodi! Sasa hivi hela za sembe hakuna. Hamieni Uganda au SA
  4. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli ataendelea kumlinda Waziri Charles Kitwanga mpaka lini?

    Jamani nyie wauza sembe sasa tumewachoka. Kila kukicha ni tuhuma za kumchafua Waziri wa Mambo ya Ndani. Sasa hivi mmedhibitiwa mnahaha kila kona. Hivi kwa akili yenu hata Waziri akijiuzuru mnadhani mtapeta tena kama enzi zile? Leteni tuhuma zenye ushahidi basi. Hivi mnaona Magufuli ni mtu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Hivi Magu kuwa na urafiki na Kitwanga ni kosa? Na nyie tafuteni marafiki wa kufa na kupona basi.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Sawa funza. Utafurukuta sana lakini Kitwanga anawanyima usingizi. Na nimtetee kwa lipi? Hayo ni maneno tu na yatapita.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Comments nyingi zimejaa wivu tu na chuki. Huyo Kitwanga anawanyima usingizi.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro atakuwa bonge la IGP

    Kwenye ukweli lazima tuwe wakweli. Kamanda Sirro yuko makini sana. Si mkurupukaji. Binafsi namuombea sana katika utendaji wake.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Charles Kitwanga & Vicky Kamata wanahusika kwenye ufisadi wa kulipwa BOT kwa miaka 6

    Chuki binafsi. Kitwanga wa watu hana maneno na mtu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Charles Kitwanga & Vicky Kamata wanahusika kwenye ufisadi wa kulipwa BOT kwa miaka 6

    Ni majungu tu. Siku hizi JF imegeuka kijiwe cha watu kuleta umbea.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Charles Kitwanga & Vicky Kamata wanahusika kwenye ufisadi wa kulipwa BOT kwa miaka 6

    We Frank U. Acha umbea wa kike. Kitwanga alisema wapi? Chuki binafsi
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tanga: Trafiki aliyeomba rushwa achukuliwa hatua

    Kama wananchi wake walimchagua serikali ifanye nini? Walaumiwe hao waliomchagua. Na pengine walimchagua kwa sababu anatoa msaada huko kwao.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tanga: Trafiki aliyeomba rushwa achukuliwa hatua

    Leteni picha zao wote watachukuliwa hatua. Sasa kama mnaishia kusema bila ushahidi mnataka nini kifanyike? Huyu kakamatwa hakuna sababu ya kumwachia. Iwe ni fundisho kwa wengine.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Angefanya hayo kabla ya kuwa Rais na waziri wa fedha/afya angefanyaje?
Back
Top Bottom