Recent content by Abelsabuni

  1. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Barabara ya King'ongo ni kama imerogwa vile

    Cha ajabu makapuku wa king'ongo wapo wengi tu magar yao wamesajili private number (kwa majina yao) INAPENDEZA SANA
  2. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Barabara ya King'ongo ni kama imerogwa vile

    Sina time na ilo pepo ambalo halijielew misifa ya kijinga wenye hadh ya kuongea wametulia....HILI JUKWAA WENG WAS
  3. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Barabara ya King'ongo ni kama imerogwa vile

    Ngoja nikuache manake nakufaham ni mwehu japo hunijui na hujui nakufaham half huna jipya lolote na ukizungumzia mabosi wa kimara
  4. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Barabara ya King'ongo ni kama imerogwa vile

    Akili huna wewe hivi kimara unaijua au unaushia kuropoka upate mme humu?????? Makapuku kinara? Kuwa na aibu na fanya research.....wewe tajiri uchwara sasa umejigarantee hata kifo umenunua uhai wa kudumu hautakufa? Mijitu mingne jmn NA UKIFUATILIA NI LILIMBUKENI TU LIMEPATA KAUNAFUU LIKIWA NA...
  5. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Barabara ya King'ongo ni kama imerogwa vile

    Kama kuna mhusika humu naomba alibebe hili. Ni kwamba hii barabara ina kilomita chache sana ambazo sidhani kama zinafika 10 lakini miaka yote ni bora hata ya kijijini na ukizingatia mamia ya magari yanayopita hapa kwa wiki. Ni barabara kubwa tu ambayo inaunganisha njia kuu za kutokea Salasala...
  6. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mtoto genius wa Kenya aliyewafundisha Chuo Kikuu miaka ya 80 hadi 90

    Huyo kaharibiwa na weupe Wala sio kuwa karrshwa,sema Kuna kitu virus kamezeshwa ili ajilaumu kumbe Ni mbinu za kutokuwa na black wa ivyo. Wazungu nyoko sana
  7. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Wayahudi walikuwa weusi?

    😋
  8. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Brighton Moyo aliyeigiza kifo na kufufuliwa afariki dunia kweli

    Mungu hadhihakiwi
  9. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Je UDSM kudisco maana yake nini?

    HABARI WADAU Naombeni kujua kuhusu SELFORM (O'LEVEL) je, kwa hawa wanafunzi WALIOPO NYUMBANI Kwamba wanaweza kujaza wenyewe au lazima warudi tena shuleni walikosoma? MANAKE WENGI WAKO MBALI MNO KWASASA NA SHULE. .ASANTE
  10. Abelsabuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeplay voice note ya mchepuko mbele ya mke wangu

    Usijali, muombe msamaha na ahidi kuacha michepuko na pia ACHA KABISA KUCHEPUKA ni Dhambi na pia unachotafuta kwa mchepuko ni hikohiko upatacho hapo kwa mkeo, na hata kama huyo mchepuko angekuwa mke wako UNGECHUPUKA TU. So hio ni tabia ya kuiambia STOP!
  11. Abelsabuni

  12. Abelsabuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeplay voice note ya mchepuko mbele ya mke wangu

  13. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya kuajiriwa kupitia TAMISEMI na Wizara ya Afya?

    For medical experts only! Please I'm in need to be familiar with THE POSITIVE AND NEGATIVE EFFECTS OF CAFFEINE in human bodies. Please answer either in Swahili or English. Thanks
  14. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya kuajiriwa kupitia TAMISEMI na Wizara ya Afya?

    Hapana hata wewe hukujua mwenyewe, uliambiwa, na sio kila kitu unatakiwa ujue, tunajua kitu pale tukiwa katika uhitaji wa kujua, tz tuna shida sio kidogo, hata wale wanaojua English unakuta wanadharau wasioojua No sio ivo kabisa, ata wewe ulijua ulipoambiwa. Hua tunajua kitu pale tunapohitaji...
  15. Abelsabuni

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya kuajiriwa kupitia TAMISEMI na Wizara ya Afya?

    Yea hakika ni hivyo.
Back
Top Bottom