Recent content by Abel2021

  1. A

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Yaliyomfika Prof. Kighoma Ali Malima hayajamkuta kiongozi yeyote katika historia ya Tanzania

    Huwa ndg alikuwa mchochezi wa kidini UDSM na hata alipokuwa waziri wa elimj. Alilisha maneno kuwa wakristo wanapendelewa sana. Lakini hakutambua pia ufaulu wa shule za kiisalamu ulikuwa mdogo sana ukingilisha na ukristo. Atakumbukwa kwa hilo
  2. A

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Hawa Ghasia? Mwanamke mwenye tashtiti kama zote

    Kangomba ina shida gani? Wapo wengi viongozi hata sasa wanafanya. Yupo Mtwara
  3. A

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Lipo jambo la kujifunza. Kwa viongozi, mnaweza kuwamiza sana viongozi kwa chini kutekeleza kazi majukumu yao. Kwa viongozi wa chini, fanya yaliyo katika majukumu yako
  4. A

    JamiiForums Tanzania Profesa Elifas Bisanda amemaliza kila Kitu kuhusu PT, JWTZ japo sijajua kwanini hajawataja na TISS ambako pia kuna Mapungufu kwa sasa

    Labda division 1 ya miaka 80s or 90s si hii ninayo iona. Tusidanganyane. Wapi makazini lakini performance yao ni chini kabisa.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Serikali irahisishe ulipaji wa kodi ya ardhi ilipwe kwa mfumo wa luku kama kodi ya Jengo

    Ni sawa kabisa. Ni vema mchakato ukaanza mapema
  6. A

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Samia Suluhu anahujumiwa

    That is not a point
  7. A

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden apanga kuwateua mabalozi wapya kwa Tanzania, China na Japan

    Huyu wa Tanzania, ni mchungaji wa kanisa la Mungu. Ana hofu ya Mungu lakini pia ni undercover agent
  8. A

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Moja wa mkurugenzi shupavu Tanzania ni huuo mama. Ila usimzingue
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya: Shahidi aeleza Sabaya alikuwa na vijana zaidi ya 10 alipovamia duka

    Jana mtu mmoja wa Hai ameniambia alikuwa anaijiita general DC
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

    Dialo ni wa kupongezwa aidha kazungumza uongo au kweli. Awamu ya tano ilikuwa ngumu sana. Najaribu kutafakari: 1. Kulikuwa na maamuzi ya pamoja? as team ya uongozi? kwa nini mradi wa bagamoyo umerudi 2. Kwa nini mashehe wa uamsho wameachiwa 3. Kwa nini sabaya amechukuliwa hatua sasa si wkt ule...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel kuondolewa Wizara ya Afya kama Dkt. Ndugulile?

    wametoa majibu ya kumfurahisha
Back
Top Bottom