Recent content by Abeid nassib

  1. A

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka: Wabunge wanne walioteuliwa walikataa uwaziri

    Point less kimtazamo rais heeyote au boss wa ofice yeyote kuwa mkali baada ya kuona mambo yanaharibika nisawa kazi kubwa anayo Dr John Magufuli ya kurejecha heshima ya chama chake kwa kuleta maendeleo
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa Dr. Benson Bana

    Mmmh kunajambo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya urembo

    Kwakweli aliyeweka kigezo cha urembo au kuwa handsame ni urefu aliwakosea watu wengi sana duniani isingelikuwa kigezo hiki ni matumaini mtu kama Lulu Michael angekuwa miss TZ leo.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya matumaini

    Matumaini haya yanaambatana na kasi ya utendaji wa rais wa Jamhuri hii, wengine wakijiuliza tutafika? Katika watu waliomzunguka wanapendezwa na hali hii ikiwa wana roho safi tutasonga mbele, lakini pesa zinazookolewa na rais zitatumika kuwasaidia walipa kodi wa chini kabisa. Matumaini yetu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Majwega Simba S.C: Wathibitisha Undugu wake na Azam F.C

    Hatari sasa
Back
Top Bottom