Tanzania ya matumaini

Abeid nassib

Member
Nov 16, 2015
6
0
Matumaini haya yanaambatana na kasi ya utendaji wa rais wa Jamhuri hii, wengine wakijiuliza tutafika?

Katika watu waliomzunguka wanapendezwa na hali hii ikiwa wana roho safi tutasonga mbele, lakini pesa zinazookolewa na rais zitatumika kuwasaidia walipa kodi wa chini kabisa. Matumaini yetu ni hayo.

Mungu iokoe Tanzania
 
Back
Top Bottom