Recent content by ABED HAMIS

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Huyu atakuwa siyo mwalimu, ni jitu la hovyo tu limeamua kuandika uzwazwa hapa jukwaani.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

    [emoji3][emoji3][emoji3]zimeenda likizo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Tec ningewaona wa maana endapo wangeshauri urekebishwaji wa baadhi ya vifungu ambavyo havina tija kwa taifa, mathalani ukomo wa mkataba. Lakini wao wameshupaza shingo kwamba hawautaki kabisa sasa sijui kuna nini nyuma ya pazia
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Acha kukalili mambo ya miaka ya 1990 sasa hivi watu wote wamesoma
  5. A

    JamiiForums Tanzania Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Hizi ni chuki za wazi, unaweza kujadili na kumkosoa mtu bila kuutweza utu wake. Lakini naona muda si mrefu mambo ya 2012 yatajirudia.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuzimwa uasi wa Wagner ndio kushindwa kwa Ukraine

    Hapa naona tunachangia huu uzi kwa mahaba ya upande unaoshabikia.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

    Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
  8. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

    Na wenyewe ni yale yale tu wapigaji, kama hawawezi kujua kiasi walichopata kwenye kampain yao ya join the chain watatuambia nini kuhusu ufisadi? Yaani hii nchi sina imani na wanasiasa kutoka chama chochote kile.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je, Ualimu ni daraja la mwisho kwa utumishi?

    Hao hao unaowadharau kwa kuandika ufedhuli kuwahusu ndo walikufundisha kuandika hizo stupidity ideas.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Umeyawaza mwenyewe hayo au una msaidizi?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Urusi siyo Libya au Iraq, na hawa majaji sijui wamelipwa sh ngapi na West.Ngoja tusubiri kuona Putin akikamatwa
  12. A

    JamiiForums Tanzania 9 Most racist Countries in the World

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

    Kuna watu wanafanya ibada kila siku lakin bado wana ushenzi mwingi hasa wa kuwazuru wengine
  14. A

    JamiiForums Tanzania Rwanda yasema ndege ya vita ya DRC imeingia kwenye anga yake

    Wakichapana sisi tutabeba mzigo wa kuwapokea wakimbizi, wakati tuko bize tunajaza bwawa la Nyerere
Back
Top Bottom