Nakujibu kama ifuatavyoo
1.Swali kwamba Mungu alikuwa kasimama wapi usijisumbue kujiuliza maana hutapata jibu ila ni yeye tu wa Kukujibu kwa hivyo Kaza mwendo kumuamini ukifika Mbinguni utamuuliza lakini ntakusaidia kidogo hapo soma Mwanzo 1:2 "Nayo nchi ilikuwa ukiwa ,tena utupu ,na giza...
Huwezi kutegemea ubingwa kwa straika nketiah yaan solution ni wamwage pesa mwez wa 12 tupate straika wa maan huwez kumchukua harvetz et awe straika ni utopolo mtupu kwa arsenal bado hatuwez kubadili mambo scouting ya wachezaj ni mbovu saana
nina mashaka saana kama wahusika wa Bodi wana uelewa wa hakika yale ambayo wanafunzi tunayapitia pengine wao hawakusoma katik mazingira magumu kwa hivo kwao inakua vigumu kutathmini uhitaji wa mtu na kuamua kusingizia vigezo
Wakati mwingine nadhan wazazi waliosomesha watoto wao private wanafaa kupongezwa saana maan wamejinyima meeng saaan na kupambana kwa kila hali ili mtoto wao asome lakin bado serikali inakosa fadhila hata kwao na kuona wana uwezo wa kuwasomesha hata Vyuoni
Daah Hongera na pole pia ambacho naona hapa tunapewa elimu inayotufanya tuwe tegemezi na sasa inapofika muda unategemea bodi ya mikopo ndio unapigwa tiktak ambay unaweza hisi dunia nzima haipo na wewe kabisaaa
Mimi ni mwanafunzi niliemaliza kidato cha 6 mwaka huu na kama kawaida niliomba mkopo kwa sabab natokea katika familia duni ili pengine niweze kuokoa jahazi nyumbani na kipindi tunasoma tuliaminishwa kuwa kufanya kwetu vizuri kungetupa fursa nzuri ya kupata mkopo ndio tumefanya vizuri lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.