Recent content by Abdulnoor Issa

  1. A

    JamiiForums Tanzania M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

    Duuuh kweli Politics is difficult than physics!! Sasa huyu MGEJA sindo kamkimbiza LEMBELI CCM kwa zengwe na vituko vyake!? Sasa itakuaje anahamia hukohuko alikokwenda LEMBELI!!? Nnachokiona kama FAIDA kubwa ya UKAWA ni kuwapatanisha maadui wa muda mrefu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa Sikonge, Said Nkumba abwaga manyanga CCM na kujiunga CHADEMA

    Huyu hana mvuto wala manufaa sana kwa UKAWA!! amekuja coz KAKATWA kura za maoni.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Azam FC yamtimua kocha Omog

    Tunawaajiri ili tuwafukuze.. So hamna tatizo hapo.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Maswali mengine 25 mazito kwa Lowassa

    Swali la 23 nimelielewa sana. Ungeongeza na 26: Je kati ya rasimu yapili ya katiba na hii katiba pendekezwa ni ipi unaiona ni bora na yenye manufaa kwa Taifa hili? Akijibu haya vizuri, naimani atabadili mitazamo ya wengi kwake
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Sema vizuri kazi ---- bana.. Sekta ya umma ndo nini? Hujui hata health attendant nae anaajiriwa na sekta ya umma? Pamoja nakua na elimu ya msingi?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mhe. Sitta, Kwa heshima kubwa nauliza, kwanini mnataka kukimbiza mambo?

    Wewe na wajumbe wenzii wa tume ya mabadiliko ya katiba, mtakumbukwa sana kaka @ Polepole. Tunafaham kabisa kua kila mtu ana ubinafc wake kwa namna moja au nyingine, lakini kitendo cha kuuweka pembeni ubinafsi wenu na kusimama kwa maslahi ya Taifa letu, ni zawadi na heshima kubwa kwa watanzania...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Leticia Nyerere, John Shibuda (CHADEMA) wajisajili katika Bunge Maalum la Katiba

    Nilimshuhudia mwenyewe kwa macho yangu siju ya j3 akishuka ktk viwanja vya bunge
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mdahalo juu ya Mchakato wa Katiba Mpya - Agosti 4, 2014 Ubungo Plaza. Warioba, Butiku, Dr Salim ndan

    Huu sasa ndo mdahalo. Ile ilopita ilikua na malengo yakunufaisha makundi flani. Niwakati wakuckia toka kwa wapishi wenyewe
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mlioolewa mnatumia majina ya ukoo wenu wakati mnamilikiwa tayari?

    Hichi unachokisema ni misimamo ya kimila na kitamaduni. Lakini na haramu kwa baadhi ya dini kama Uislam. So usishangae kabisa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi awasha moto Katiba Mpya

    Kuitambua Tanganyika kunazua hofu nyingi. Lakin hofu zote zinatokana na watu kupenda utawala wa kudumu. Mfano ni huu: Serikali tatu zitafufua upya wafu wawili ( TANU & ASP) hii maanayake nini? Hii iyasababisha kufa kwa kiumbe hai (CCM). Ikiwa hivo kitakachofata nini? Kitakachofata ni kutengeneza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Taifa Limenza kugawanyika

    Nguruwejike anajiita Farudume! Hivi mtu na akili zake unashindwa kutofautisha Uislam na ugaidi au Uarabu na Usomali!??! Kwahyo miaka zaidi ya 50 ya shule za seminary nchi hii hukuwahi kupna tatizo kabisa. Ila kwakuwa kumeanza kuibuka shule za Kiislam ndo unaiona Alshabaab inakunyemelea"?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Taifa Limenza kugawanyika

    Huu uchambuzi wako ni wakizushi, uchochezi na Unafiki mkubwa sana. Na hizi ndo dalili za fikra jangwa na mawazo kame. Hebu angalia majina yaliyotolewa na TCU kwaajili ya wanafunzi takaojiunga na MUM mwaka huu kama hakuna watu wa dini nyingine. Halafu mbona unaonekana kuushambulia upande mmoja...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kikao cha CHADEMA na wafadhili wake wa nje kupanga mikakati ya uchaguzi

    Tanzania eeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhh! Mwanangu kua uyaoneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA,dhambi hii itawatafuna katika uhai wenu,mwanaisasa huyu amewakosea nini?

    Jamaa kasema!!!! Kuna haja ya kuyatafakari haya vizuri pasipo kuingiza hisia zenu dhidi ya mleta mada.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

    Inferiority complex can be prooved by someone actaing against it without giving it a second thought. Hivi ndivo naibu spika alivowadhirishia Wadanganyika leo kuwa yeye anaongozwa na HISIA DHALILI
Back
Top Bottom