Bro unachoweza kusema kinaweza kuwa kweli lakini matendo ya serikali ya awamu ya tano kutopenda kukosolewa ndo yanayowafanya watu waliamini maneno yako pia report hupingwa kwa kufanya tafiti na kutoa ripoti mbadala sio kupinga tu sasa mbona zilizokuwa zinasifia miaka ya nyuma mlizipokea kwa...
Inasikitisha sana kuwa na taifa linalonawa damu za raia ila naomba niwakumbushe jeshi la polisi kuwa hizi damu wanazomwaga haziendi Bure ipo siku watazilipia kwa gharama yeyote ile sis sio wajinga bali ukimya wetu utatoa tafsiri siku moja
IMF ni taasisi ya fedha ambayo imejikita kutoa fedha kwa nchi mbali mbali hususan hiz za Africa ambazo zina matatizo mengi lakini zina rasilimali nyingi lengo ni kutengeneza mfumo wa utegemeanaji na muingiliano wa kiuchumi kwakuwa walioendelea wa teknolojia na sisi tuna rasilimali. Sasa mfumo...
Wenye akili fupi watakukejeli bila kujua umuhimu wa taasisi za dini katika ukuaji wa taifa huru na salama hongera askofu maana wanasiasa wanapenda sana kujifanya wanaumizwa na matatizo ya watu kumbe kufa kufahana
Na ukiona mtu anaandika ujumbe kama wako ujue ni mshabiki wa faru ndungai ambaye uwezo wake as kufikiri ni mdogo anaongoza chombo cha kutunga sheria lakini hajui katiba akili za wana ccm ni ndogo sana
Hawezi kujibu huyo ni malaya wa kisiasa anayetoa majibu mepesi kwenye maswali magumu mzee ccm imekufa imebaki kulindwa na tanpol ila soon watapata habari yao
Mnaacha kujibu hoja za CAG mnaanza kusingizia mabeberu mnajifanya mmesahau kuwa ccm ndo mlopwaleta hao mabeberu na kuwapa rasilimali wavune watakavyo bro nyie mmechoka kuongoza taifa hili kwakuwa mmegoma kuondoka kwa box la Kula time will tell ccm haijawah kumtetea mtanzania bali utetea maslah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.