Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,774
Ni wazo lenye tija kwa manufaa ya umma!
Badala ya sadaka kutafunwa na wachache ((mume, mke na watoto) yaani familia bora na wenzetu nao walipe kodi !
Vinginevyo kuwepo na bodi ya wadhamini na uwezi kwa waamini ktk kujua kiasi kinachokusanywa na namna zinavyotumika na waumini wapewe haki ya kuhoji kuhusu sadaka zao!
Go Anko Magu go on this!
Unadhani makanisa hayatengenezi hesabu zake na kukaguliwa? You are myopic by concluding every church equates to the likes of Lusekelo's church.