Recent content by Abdul Nondo7

  1. A

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kwa hili naona umezidisha hivyo litafakari na ujirekebishe kwani hujachelewa

    Yule mama wa tanga mbona alitembea kwa ujasiri bila kushtukiwa hadi karibu ya Mh. Rais hiv kweli??
  2. A

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kwa hili naona umezidisha hivyo litafakari na ujirekebishe kwani hujachelewa

    Hata Mimi nimekuwa nikimuona mfano UDSM alipokuja
  3. A

    JamiiForums Tanzania Redio kujadili mubashara mambo ya Hedhi na Pedi ndiyo maadili ya Kitanzania?

    Wasichana wanateseka, na EAST AFRICAN RADIO /TV imeamua kupigA kampeni ya kuchangia fedha kwa Dada zetu, badala uguswe ww umeona Jambo kubwa saana na baya ni wenyewe kuzungumzia MA swahibu hayo, mungu anakuona, kinyaa what's kinyaa au Dada yako can afford that, au hauna Dada, stop that bro, fyuuuuu
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO: Hospitali ya Muhimbili kitengo cha mifupa (MOI) wagonjwa wanateseka

    Kwako Mh. Naibu waziri wa afya, Dr. Hamis Kigwangala, habari za majukumu natumai unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku ya kutumikia watanzania, mungu aendelee kukupa afya njema na uwajibikaji uliotukuka. Taarifa zilizopo ni kuwa hospital ya MUHIMBILI kitengo cha mifupa (MOI).wagonjwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa serikali hii juu ya ajira kwa vijana

    Ni muda mrefu sasa Tanzania tumekuwa tukipiga sarakasi juu ya suala la ajira kwa vijana tumekuwa tukitengeneza sera nyingi juu ya masuala ya vijana bila kutekelezeka (policy implementation gap) leo Naomba kuweka wazi juu ya uhamnazo tulio nao ndani ya taifa hili na viongozi wake. Kwa mujibu wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania TSNP: Tumeungana na LHRC kupinga malipo ya asilimia 15

    Mtandao wa wanafunzi Tanzania (TSNP) kupitia kurugenzi yetu ya sheria, kama wahanga watarajiwa, tumeafikiana na mawakili wetu takribani 10, kuungana na mawakili wa kituo cha haki na sheria (LHRC) kwajili ya kwenda mahakamani kupinga malipo ya 15% kwa bodi ya mikopo ambayo awali yalikuwa ni 8%...
  7. A

    JamiiForums Tanzania RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Ha Ha Ha Ha Ha, kwa sifa zake saa hizi ameshatoa kila cheti but hana Ha Ha
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Minjingu mining and fertilizer and Bungoma county fertilizers

    sasa hivi kila mtu anajiuliza kwanini Mbolea ya minijingu inayozalishwa na minijingu mines and fertilizers LTD, iliyopo TANZANIA na huzalisha mbolea hiyo kwa kutumia malighafi kutoka kwetu TANZANIA ambayo ni madini ya phosphates yaliyopo manyara.(mgodi). Lakini Jambo la kushangaza hapa ni...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nashauri Waziri Mkuu ahitaji maelezo ya kina kutoka Minjingu kuhusu soko lao la Kenya

    Ukwepaji wa kodi unakuwa kwa mtindo upi hapo.
Back
Top Bottom