Recent content by Abdul Mohammed

  1. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli itakuwa ya kulipa Fidia kama wizara alizowahi kuziongoza

    Tunajua Watanzania wengi watakufukuzwa kazi na Magufuli kutokana na ubabe wake. Ukiwa kiongozi unatakiwa uwe na busara kuliko jazba. Wengi watafukuzwa au kusimamishwa bila ya sababu au maelezo ya kwanini wanafukuzwa au kusimamishwa kazi bila ya kujitetea. Mahakama za kazi (Labour Court) angalau...
  2. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    To resign, na hatoweza kufanya hivyo
  3. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Kiukweli Taifa limegawanyika sana hasa huku mitaani, watu hawataki kuamini kuwa Magufuli ni Rais na wanazidi kuichukia ccm. Ni kweli wengi wanaombea Magufulia ashindwe, Magufuli ana kazi kubwa sana ya kuliongoza hili Taifa
  4. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete - Tanzania's Laughing Stock?

    We mama lishe mgambo hawajazipitia sufuria zako hapo? nilisikia kulikuwa na msako kwa ajili ya kipindupindu
  5. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete - Tanzania's Laughing Stock?

    Nakubaliana na wewe Kikwete amefanya kazi nzuri sana kuhakikisha Wakina Chenge, Mama wa pesa za mboga pamoja na Mafisadi wenzake waishi maisha bora Tanzania. Hongera zake Kikwete the Vasco da gama wa Bagamoyo, apumzike kama alilivyopumzika Fisadi papa Mkapa lakini wakumbuke ipo siku HAKI itasimama.
  6. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha ndie kila kitu, Magufuli akichemsha hili, basi

    Kuna watu wanaroho ngumu sana na uvumilivu wa kujipamatumaini. Bado kuna watu wanaamini CCM italeta mabadiliko ya uchumi wakati mikataba mingi ya kipuuzi nchini kwetu imesainiwa na hao hao CCM. Kama unaamini kuwa waziri wa fedha ndani ya serikali ya CCM ataifanya Tsh yetu kuwa na thamani na...
  7. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubelee

    Wewe ni mnufaika wa CCM, ita jeshi lenu la CCM kama unapinga ukweli huu
  8. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, wapo Clouds TV kipindi cha 'Tathmini ya Uchaguzi'

    Una maanisha kichwa maji kama Mzee Libya au una maana nyingine?
  9. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Viongizi wetu wapo nchini Uholanzi katika mahakama ya kimataifa kupigania Haki yetu tuliyopokonywa. Muda wowote mungu anakwenda kujibu vilio vyetu.
  10. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubelee

    Wasimamizi wa Uchaguzi hawakuwa NEC? au ni CCM? NEC na CCM wamebaka democrasia yetu. Jaji Lubuva alikuwa anajuafika kwamba wanatumikia CCM kwa mwamvuli wa NEC
  11. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubelee

    Tumebakia kudanganywa na AMANI, eti tutunze amani wakati Gesi anachukuwa mchina, Dhahabu wazungu, Wanyama Waarabu. Watanzania wakitakakujua Rasilimali zao Wapuuzi CCM wanatuambia tutunze AMANI. Amani my asssssssssss. F^%$$# AMANI. Hiyo AMANI ndio itanipa ajira au Elimu? Tumepumbazwa vibaya sana...
  12. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Kuchaguliwa kwa Magufuli, Gasi yetu imeponea chupuchupu

    Kweli gesi imeponea chupuchupu kubaki Tanzania, kwa sasa China wamalizie kuihamishia na kuichukuwa yote na watuachie amani yetu. watanzania hatuhitaji rasilimali tunachokihitaji ni amani. Hata dhahabu na mafuta, Tembo, Twiga wawabebe sisi hatuhitajichochote amani inatutosha.
  13. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubelee

    CCM watimiza rasmi kauli yao ya goli la mkono, hata kushangilia wanaona aibu wamebakia majumbani kwa. Wanamtangaza kwa kumwaga Polisi mitaani kuhofia nguvu ya umma. Asnateni NEC kwa kutuchagulia rais na kubaka democracy.
Back
Top Bottom