Recent content by ABDUL FUNGA

  1. A

    Mwenye connection na kazi za viwandani msaada nina cheti tu cha form four nisaidie ndugu zangu

    Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
  2. A

    Naomba kujua haya kuhusu Chuo cha Bandari

    Jamani naomba kujua kuhusiana na chuo Cha bandari ambacho kipo TANDIKA pale hivi short course zile mbona nina bei kubwa sana na kwa wiki 6 tu na vipi KUHUSU ajira zake zipoje maana nataka kwenda kusoma pale na ipi ni kozi nzuri ambayo itakuwa rahisi kwa ajira. Mwenye uelewa KUHUSU ili...
  3. A

    Naombeni msaada, nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani? Nipo Kinondoni - Dar es Salaam

    Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali. Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
Back
Top Bottom