Habari wakuu, nipo nje ya Tanzania ila napenda sana kuangalia channel zake. Nimejitahidi kutafuta dish ambalo litakuwa lina beam zavTz nimekutana na hilo pichani.
Sasa naomba msaada wa haya.
1. Dish liwe la size gani?
2. Ni kweli local channel nitazipata?
Natanguliza shukran zangu.
Sent...
Kama uliweza kumtoa na kumpeleka Lodge na kuvunja amri ya 6, unashindwaje kumtka kwa ajili ya kupima????
Sema ww mwenyewe unasita kwenda, so unakosa nguvu ya kumtoa.
Ila kazana kama ambavyo ulikazana katika kutafuta game. Kapimeni.
Aisee hii Oginsta naona inakataa kutuma sms direct, inanambia ni Update. Na nikifuata sehemu ya ku update nakutana na play store ambapo insta ya kawaida iponUpdated. Msaada
Daa mkuu umemvunja moya kabisa, mm naimani jamaa alikuja na anuani ya kwamba umsikilize kisha umwambie wapi aongeze kama kakosea.
Means kwamba amejua hakufanya kwa level ambayo inatakiwa kufanywa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.