Recent content by ABDUELI

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu tcu na selection status

    tatizo langu lingine pale kwenye selection status ya vyuo nilivyoomba hakuna hata chuo kimoja kilicho andikwa eligible or not eligible.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu tcu na selection status

    Tatizo ni kwamba wengine zakwao zimebadilika
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu tcu na selection status

    Jamani naomba mnisaidie mimi nimeomba chuo mwaka huu kwa kupitia tcu lakini mpaka sasa hivi nikiangalia my profile kwenye selection status inaonyesha not yet processed,inamaana muda bado au ndiyo imekula kwangu.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu tcu na selection status

    Jamani mimi naomba mnisaidie mwaka huu nimeomba chuo kupitia tcu mpaka sasa my selection status inaonyesha not yet processed,inamaana muda bado au ndiyo imekula kwangu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kaka na Dada wakutwa wakifanya Ngono namke/wifi!

    Daa! Unajua walichokifanya ni matokeo ya dhambi,ukichunguza kwa umakini utagundua hata malezi yao ya toka utotoni yawezekana hayakuwa mazuri,hawajui kuheshimiana,hawakuwa wakimcha mungu hawakwenda misikitini wala makanisani kwa hiyo ni rahisi kwa mtu wa ulimwengu kufanya kiyu kama hicho.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kaka na Dada wakutwa wakifanya Ngono namke/wifi!

    wewe dunia sio janga ila walimwengu ndiyo janga.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Demu wa rafiki yako anapokumezea mate na kutoa visingizio/sababu lukuki?

    oya mwana wewe mtawanye tu,mega kisela,use triple f.....,
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete awalinda Mawaziri - Asisitiza waachwe, UPEPO HUU UTAPITA!

    Nina wasiwasi upepo huu ukipita itakuja mvua ya mawe na kimbunga kikali
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete awalinda Mawaziri - Asisitiza waachwe, UPEPO HUU UTAPITA!

    ni na wasiwasi upepo huu ukipita kitakuja kimbunga kikali na mvua ya mawe
  10. A

    JamiiForums Tanzania Gharama za kujiuzuru kwa Mawaziri!

    Gharama zipo nyingi tu,lakini kwa report ya cag daa!,wasepe tuu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete awalinda Mawaziri - Asisitiza waachwe, UPEPO HUU UTAPITA!

    Mimi nina wasiwasi kuwa tanzania ilisha uzwa kitambo ila hawataki kutuambia ukweli,watanzania amkeni,hii tanzania si ya ccm ni ya watanzania.
Back
Top Bottom