Inaelekea kwamba unauliza swali ambalo jibu lake unalifahamu ila unatafuta kuungwa mkono tu. Mimi simtetei huyo bibi yako ila nimeona kwamba wewe mwenyewe inabidi urekebishe tabia zako. Usipende kufanyia watu mambo ambayo ukifanyiwa wewe mwenyewe hutofurahi.
Kwa nini unapekua begi la mtu bila...
Ufanyeje? Kwani unahitaji kwenda shule kufundishwa jibu la swali lako? Jifikiri hilo unalotaka kufanya kama lingekufurahisha kufanyiwa wewe. Asikuongopee mtu brother suala la mkeo kumegwa ni suala la hatari sana. Linaweza kusababisha vifo, maafa, udugu kuvunjika na hata nchi na nchi kupigana...
We mshamba nini? Kwani wewe wazee unawafikiriaje, hawafai kuwa katika jamii? Na hasa tufahamishe ni kitu gani ambacho unakifikiria (insinuation) hata unafikiria kufanywa hapo, mpaka unatia hofu kuwapo kwa wazee
ukumbini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.